Ukimnyonya busu mwanamke akiwa amepaka Lipstick jiandae kuwa na tatizo la figo (disorder)

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,319
33,125
MADHARA YA KUMNYONA MWANAMKE BUSU.jpg


Ukimnyonya busu mwanamke akiwa amepaka Lipstick jiandae kuwa na tatizo la figo (disorder),Uvimbe kwenye mapafu na Tumbo maana kwenye Lipstick kuna vyuma vya cadmium, aluminum, chromium n.k ambayo vina link na Saratani aka Cancer na Maradhi ya Mzio aka Allergy kabisa.
 
Jana nimetupia Imagi zangu kisha nikakamata mama nikala kiss mpaka hio lipshedo ikatoka, kwahio nisubirie kansa tu wazee
 
Mhhh mmetukataza kunyonya mbunye eti ooh kansa..sasa mmehamia lipstick

Basi tutakua tunawakata mtama na kuwachomeka tu kama MURA
 
Ni kweli lakini huyo wa kwenye picha mzuri ivo... Huwezi pata matatizo yoyote
 
View attachment 1218364

Ukimnyonya busu mwanamke akiwa amepaka Lipstick jiandae kuwa na tatizo la figo (disorder),Uvimbe kwenye mapafu na Tumbo maana kwenye Lipstick kuna vyuma vya cadmium, aluminum, chromium n.k ambayo vina link na Saratani aka Cancer na Maradhi ya Mzio aka Allergy kabisa.
Kama kwa mnyonyaji tu iko hivyo,bila shaka kwa mpaka lipstick ni kifo kabisa.
 
Kuna mambo ni ya ajabu sana...

Aliyepakaa haugui haya magonjwa ila wewe unayemnyonya ndiyo utayeugua hayo magonjwa... acheni mambo yenu...


Cc: mahondaw
 
Alafu sikuhizi hizo mambo zina radha kama ya choklet
Mi nishazila sana kwakweli ila kwa huzi huu inabidi nipunguze ila siachi
 
Acheni uongo wa kipuuzi, mm nanyonya Mara mojamoja yeye mwanamke anapka kila siku na anakaanyo Masaa yote, kwa nn wasingeanza wao kuugua? Maana yapo mdomon mda wote na chakula wana kula nayo
 
Watu hatuogopi kufa tunacho ogopa ni kuteseka kwa maradhi kufa ni mara moja ila kuteseka na maradhi ndio watu tunachoogopa. Wewe kama huogopi kuteseka na maradhi endelea kunyonya mdomo wenye rangi ya Lipstick faida yake utakuja kuiona baadae.
Naendelea kunyonya. Tena bby wangu huwa anapaka asali ya Tabora.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom