Ukimkuta simba kalala porini, mfuate mwangalie usoni usigeuke wala usikimbie

Ok. Poa wewe endelea kutukana tu dawa yako ipo jikoni.
Nenda katafute tafsiri ya neno mjinga, au neno mpumbavu utafahamu. Tanzania tuna maadui wakuu watatu yaani umasikini, ujinga na maradhi!wewe bado unaenzi ujinga. Neno upumbavu Rais mustaafu Mkapa alilitolea ufafanuzi. Kama umechukia nenda shule kwanza sio kutoa vitisho vya uchochoroni.
 
Umeniacha njia panda!! Kwahiyo huu ushauri wako unafanya kazi kweli ktk kumkabili Simba porini au ulilenga kuwapa watu ujasiri wa kupambana na watawala wa kisiasa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom