Ukimkuta mwanao wa kumzaa amekaa hapa utafanyaje

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
Ukimkuta mwanao wa kumzaa amekaa hapo na ndio ulitaka kuingia kwenye gari uondoke maana uawahi kazini utafamyaje na kipi utamwambia mama yake,

61165242_2167686996613584_7782814570980048896_n.jpg
 
Ukimkuta mwanao wa kumzaa amekaa hapo na ndio ulitaka kuingia kwenye gari uondoke maana uawahi kazini utafamyaje na kipi utamwambia mama yake,

View attachment 1110997
Kwa umri wa huyo mtoto, wazazi/ walezi wake ni wazembe asilimia 100. Mtoto huyo anahitaji toys na sio makopo ili awe muumini mzuri wa demokrasia ya kweli. Kingine, gari lazima ziwe na garage yenye mlango.
 
Ukimkuta mwanao wa kumzaa amekaa hapo na ndio ulitaka kuingia kwenye gari uondoke maana uawahi kazini utafamyaje na kipi utamwambia mama yake,

View attachment 1110997
Hauwezi ingia kwa gari bila kukagua mbele nyuma na chini yake. Washamba wa hizi vitu ndo hao hukurupukaga tuu. Ko in short kama mm ningemuona tuu labda kesi ingekua kwa maza ake
 
Namlamba kof mtoto mpaka asome kichina. Kesho akiona Gari atakimbia kama ameona simba.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom