Ukimkamata mtu na mke wako /mme wako utamfanyaje

Nitajua hapo hapo, ila hiiiiiii!
Mke aliwe tunda kimasihara??😤

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Ninawachek kwa dharau kisha ni.awaambia waendelee na shughuli zao. Ninatoka nikirudi ninakuja na mke mwingine huyu wakwanza simusumbui ila ajue matumiz au kuangaika nae ndo bas
 
Back
Top Bottom