Ukimfumania mwenzi wako "unakinukisha" kwa nani? Mwizi wako au mpenzi wako?

mm nitawapa pole kwa kazi kubwa mliokuwa mnafanya, kama ndani hakuna feni ntapiga simu chap kwa muuzaji alete feni ili msisumbuliwe na joto au jasho

ila mke ntampa likizo ya milele kwa amani kabisa halafu navuta jiko jingine naanza mapishi upya
 
Wala simgusi yeyote,ila nitampa begi na baadhi ya vitu kadhaa wakaanze maisha.

NB: Pamoja na kuwa mkristo,ila nikumfumania make wangu hakuna atayeweza kusuluhisha hilo kosa na siwezi kumrudia mwanamke huyo tena......
 
Sio jambo la ajabu ndugu ndio sababu nikasema nakukadiria kama ninakuweza nakupa kipigo cha mbwa koko na kama sikuwezi bas nitafanya nini na naona kabisa sikuwezi sanasana nitakuachia uendelee naye tu

Hata hivyo nadhani umechanganya madesa sikumbuki kama nimewahi kunena hayo na kama ndivyo bas pengine ilikuwa ni chai ya mdalasini tu
Mzee mzima kwa hiyo unataka kutuambia tusiwe tunaamini comments zako ??.
 
Wala simgusi yeyote,ila nitampa begi na baadhi ya vitu kadhaa wakaanze maisha.

NB: Pamoja na kuwa mkristo,ila nikumfumania make wangu hakuna atayeweza kusuluhisha hilo kosa na siwezi kumrudia mwanamke huyo tena......
Biblia inasema mtu asimuache mkewe ila kwa dhambi ya UZINZI
 
Kwanini mkuu?
Kuna jamaa kule mtwara alikuwa maarufu kuwaingilia wanaume wenziwe pindi wakifumaniwa(alikuwa anakodiwa).Siku akapigiwa simu kwamba aende haraka mkewe analiwa. Huwezi amini jamaa alipofika alifikia kulia tu na alikuwa baunsa kwelikweli.Hakufanya lolote lile
 
huyo fala ndo ajue maumivu yalivo

huyo mwamba aliyemchapi baunsa alijiamini nini au aliamua kumkomoa??
 
huyo fala ndo ajue maumivu yalivo

huyo mwamba aliyemchapi baunsa alijiamini nini au aliamua kumkomoa??
Inaonekana mke ndio ali-injinia tukio zima ili kumkomoa mumewe kwa tabia chafu za kuwapanda wagoni wa wenzie.

ILA kila nikikumbuka kilio cha yule baunsa nazidi kuomba MUNGU hii aibu isije nikuta
 
Back
Top Bottom