Ukimfumania mkeo analiwa live usimpige, muadhibu kwa namna hii atateseka mno na kujuta

Mimi binafsi,

Nikimfumania guest house au lodge; namtimua kwangu.
Nikimfumania nyumbani kwangu kama chumbani hivi; namtimua pia. Lakini kwa sababu nyumba/chumba changu kitakuwa kinanikumbushia maumivu, itabidi tu nihame, nipangishe au niiuze. Sasa kutokana na usumbufu huo, ajue tu kabisa huko aliko KISASI kinakuja. Ntakachomfanya, atakikumbuka mpaka siku anakata pumzi.
Hivyo basi, ewe future wife, kama utapitia uzi huu; usinisaliti. Ukinisaliti, hakikisha nisijue. Ukishindwa kuzuia hivyo, basi fanya nje ya nyumba yangu. Tafadhali.
Hehehe
 
Hizo njia kama upo uwezekano zipigwe marufuku, yaani unamharibu kisaikolojia wote wawili mwanaume uliye mfumania na mkeo...... Yaani anaweza kupata ugonjwa usio tibika
Kabisa , lakin waziache zitumike hizi hizi
 
hello ma rafiki na wananzengo wa haba,
kwa members wa hapa mtakuwa mnaona kila siku nyuzi juu ya kuisalitiwa zinaporomoshwa kila siku na kuomba ushauri, na wengine huwa hawaomba ushauri wanaumia kimya kimya,

matumaini yangu ukitumia njia hizi hakika utamuumiza zaid mwenzako zaid ya kupigana

1. Ukiwakuta wanakulana live kwanza muite jina ajue kuwa umemuona, alafu wasaliimie hata kama wako kitandani, usichukue hatua yeyote endelea na shughuli zako
2. mkifika ndani ya nyumba wala usiseme chochote,
3. mtenge kwa wiki kadhaa bila kushiriki chakula ya usiku najua ataomba msamaha lakini shikiria msimamo wako
4. tegeshea yuko chumbani kwenu nunua box zima la condom au kinga weka juu ya kabati, nadhani hapa atadhani kwamba aisee mchezo utaanza maana kama kanunua hii kamisi nanii ila haniamini, lakin usizitumie,
5. piga piga simu ukiuliza madaktari kuuliza "halo dokta hivi gharama za kupima ukimwi ni kiasi gani'' hii ipige mbele yake
5. alafu siku hiyo hiyo uliyonunua condomu usiitumie wala kuzitumia zikae tu,
6. siku ya pili hivyo hivyo tegeshea mtu wa kukupigia simu usiku mmelala , toka kaipokelee nje kabisa asijue umeongea na nani kumbe ni msela umempanga tu akupigie,
6. wakati wa mchana simu zikipigwa hata na washikaji zako , mwambie ngoja nikapokee simu nje, unaenda mita kama 30, unaongea hata kama ni mwanume alokupigia
7. Muite fundi samani (furniture) mke wako akiwepo muulizie "hivi fundi kuchonga kitanda bei gani siku hizi"
mpe advance mbele ya mkeo umwambie unakitaka kitanda haraka
8. Piga simu kwa wauza magodoro uliza hivi godoro ''shilingi ngapi nataka godoro hapa nyumbani''naomba kesho nipate ilo godoro
10. kwenye mitandao ya kijamii usi mu unfollow , cha kufanya anza kuweka ukaribu na marafiki zake wa kike comment kuwasifu , na kuonesha kupendezewa na mienendo yao
11. hama chumbani kwako amia chumba kingine na usiku uwe unaweka full credity unawapigia marafiki zako yeye atakuwa anakuja kuchungulia mlangoni kwako, fungua mlango nenda ukaongelelee njee atakuchungulia dirishani aone simu sikioni haizimi,

12. siku inayofuata mwambie rafiki yako wa kike ambaye unahisi ni mkali kuliko wote aje nyumbani kujifanya ile proposal mnaimalizia na ameona aje nyumbani na pia katika mazungumzo anasema "hivi mr bonny (mfano) ile project tunaanza na bagamoyo au tunaanzia morogoro?"
mjibu ''nimeongea na operation manager hawajaeleweka wameandaa nyumba ya kulala lakini ni moja kwa wafanyakazi wote hiki kitu sijapenda wengine tumeoa ujue na hakuna kitu kibaya kama mwenzako kuanza kukuhisi, itabidi tuvumilie mpaka wa arrange utaratibu wmingine kama hawaandai basi hatuna jinsi ila mwanume mmoja nalalaje na wafanyakazi wote almost wakike wanitaftie hata sehem bwana" unaongea ukiwa seriouse

13. kesho yake anza kupanga nguo kwenye begi mwenyewe mkeo akitaka kukusaidia sema hujui napaswa kuandaa zipi ziache naandaa mwenyewe, alafu ukipokea simu ya kutegesha itikia"kwahiyo tunalala nyumba moja au wameandaa utaratibu pili najiuliza swala la nguo kwa mwezi wote huu nibebe zote?" maana nataka nijue pili sitakuwa na wakunisaidia kuzifua nguo hizi japo jenny kasema atanisaidia lakin nabeba chache"

14.nakwambia lazima mke wako kwa vituko hivyo atajishtaki wenyewe kwa wazazi na wazazi wakija sema mbona tuko powa tu atasema hapana mme wangu sema ulivyonifumania aisee smea sema maana hapana

huyu hawezi rudia tena , ila ungekuwa umemnasa kibao yangeisha akarudia


hebu twambie uliwahi kumtesa mkeo au mmeo kisaikorojia?
twambie kwa njia ipi au unahisi njia gani unaona inafaa,


note that : watu wenye uwezo wa kufumania mke alafu akanyamaza ni wachache sanaaaa pia kwa wanaoweza kumbuka usinyamaze sana hawachelewi kujiua alafu ukajuta wewe

Nashukuru kwa ushauri wako na hizi mbinu zako Mkuu ila sidhani kama kwa Sisi Wanaume wa kutoka Mkoani Mara ( Musoma ) huu ushauri wako utatekelezeka ila suluhu yetu Sisi kubwa ni kugawana tu Majengo ya Serikali ambapo Mimi nitalichukua la Gerezani milele na Yeye atachukua la Mochwari daima.
 
Ukifuata hizo njia umechemka, ke mwingine unamfumania na bado anakomaa na kukwambia kwan wewe hujawhi kuchepuka au kabla yangu ulikuwa na nani, na ukiendelea kumsemesha anakwambia fanya unalokitaka ila unifanyi kitu na sitoki hapa labda uhame wewe, kwa taarifa yako huyo uliyenifumania naye ndiye anayetulisha humu ndani wewe una mia, niambie hapo utafanya nin!!? ukichunguza kwa makn afya zao unakuta wote ni waathirika.
 
Mapenzi ni raha Ukipata mpenzi mzuri na mwaminifu
Hahahahah mpenzi mwaminifu ni lulu hasa kwa hawa wanawake wa mjini wanaoshinda mitandaoni na kutamani maisha kama ya kina zari,huddah and the like. Akitokea muhongaji mzuri na host wa bata atamla tu hata kwa kigezo cha urafiki and you won't do shit.

Omba upate mwenye kukulia kwenye maadili na kwenye maisha bora ili asiwe limbukeni wa pesa na tamaa za kijinga maana hapo ndipo mtego wa wakware ulipo.
 
mimi nikimfumania yf, natafuta baunsa watatu wataalamu wa kutatua marinda, wamtatue jamaa, afu wote wawili nawachukua video, siisambazi, nakaa nayo tu, nakwambia watahama mji
 
Namba 11 mpaka muwe na nyumba ya kutosha,12 na kuendelea inategemea na aina ya kazi
 
hyo NOBL 3 ya kutomgusa MKEO kwa muda .. ndy kabisa umeshampa uhuru wa kuendeleza UZINZIBWAJE NJE....wala siyo dawa hyo.....DAWA ukimfumania mkeo... KAMA KILAINISHI HUNA basi hata BLUE BAND inatosha KUTUMIKA kumpan ADHABU huyo MGONI wako......fanya hilo zoezi mbele ya MKEO TENA KWA WELEDI MKUBWA.....halafu ndy unatafuta ADHABU ya KIJESHI kwa mkeo.....mambo ya siasa kwenye UGONI utafeli....mkuu....Wanawake hawapendi WANAUME too soft...lazima uwe JEURI na KIBURI unapokuja ktk suala zima la MTU KUKUCHANGANYA...
Watu wanatumikia vifungo kwa adhabu dizaini yako.
Take care
 
Sasa wezangu na mimi kule kijijini na mlolongo wote huu, wapi na wapi??!, afu ushauri wako unalenga watu wa haina fulani kihari tofauti na mikasa ya mapezi yalivo ambayo yanaweza kumkuta yeyote bila kujali hari yake.
 
Back
Top Bottom