Ukimfumania Mke au Mumeo utafanya nini?

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,766
894
Wana JF.
Hivi ukimfumania mumeo/mkeo na mtu mwingine Live...utafanya nini? Unamuacha, au utamsemehe?
Wadau wa ebu tujadili hili nawakalisha
 
Sitakurupuka, nitajiangalia mimi mwenyewe ni msafi kiasi gani? kama hako kamchezo hata mimi nakafanya ila sijakamatwa, nitamsamehe na hii itamshangaza sana sidhani kama atarudia tena.
 
kidume mm ntamsamehe my sweet banana ila huyo **** anaenionjea mtanga nta mla t**o saaana
 
unampa adhabu ya kisaikolojia!!unakaa kimya kama hakuna lolote alilolikosea, unaendelea na maisha kama kawa bali hushiriki nae tendo la ndoa...atakimbia mwenyewe tu, maana atakuwa anajiuliza jamaa ananitafutia adhabu gani mbona yupo kimya??
 
kwanza unatakiwa uwe mtulivu sana kwa kumfumania ina maana hajaanza cku hiyo na anaweza akawa na zaidi ya huyo uliyemkuta nae..
kwanza nitamuomba samahani kwa kumkatisha starehe yake , nitaondoka na kurudi nyumbani kupumzika na sitamuuliza na maisha yataendelea...
 
Mimi sitamsemesha zaidi ya kusema samahani nimekuingilia kwenye anga zako.

Good, unawatafutia maji ya kuoga na viburudisho na chakula. Kisha unanyamaza kimya humwulizi chochote kuhusiana na jambo hilo!!
 
Wana JF.
Hivi ukimfumania mumeo/mkeo na mtu mwingine Live...utafanya nini? Unamuacha, au utamsemehe?
Wadau wa ebu tujadili hili nawakalisha

cha kwanza ntajua mimi ndo mwenye mapungufu na huenda nimepelekea yeye kufanya hivyo,kwa hiyo nitahitaji anambie ninakosea wapi ili nirekebishe na anihakikishie hatarudia tena.
 
Wana JF.
Hivi ukimfumania mumeo/mkeo na mtu mwingine Live...utafanya nini? Unamuacha, au utamsemehe?
Wadau wa ebu tujadili hili nawakalisha

Chatu uliona wapi mtu akikuta 'sisimizi' kwenye kopo lake la sukari basi anaimwaga yote? Unakung'uta sisimizi tu wakikimbia unaendelea kulamba sukari yako!
 
Siwezi kuhukumu kitu ambacho akijatokea lakini kuna uwezekano mkubwa nikapiga mtu risasi ya kichwa!!
 
Chatu uliona wapi mtu akikuta 'sisimizi' kwenye kopo lake la sukari basi anaimwaga yote? Unakung'uta sisimizi tu wakikimbia unaendelea kulamba sukari yako!
Riwa,
Kuna jamaa mmoja alimfumania mke wake hotel akaanza kulia then akamwambia mke wake kaonge twende nyumba nimekusamehe lakini usirudie
 
Back
Top Bottom