Mwanaume ukimhudumia mwanamke mapenzi yanakuwa matamu sana

Habari wakuu,

Msinielewe vibaya na hiyo heading,nimekaa nimefikiria sana kuhusu kuboresha maenzi na hawa wanawake,kwa uzoefu wangu mdogo nilionao nimegundua kuna vitu vinapuuzwa ila vikifanywa,mwanamke anafurahi kwakua inakua very romantic,nakupa mfano,binafsi nilikua napenda sana misosi mitamu so nikajifunza kupika vyakula mbalimbali,hivyo ninapokua na mpenzi napenda kumpikia na kumuandalia kila kitu on the table,hiki kitendo huwa naona kabisa mwanamke anafurahia sana,na kuna vitu vingi vimezoeleka mwanaume ndo afanyiwe ila ukifanya kinyume na ukamfanyia mwanamke anafurahi,mfano ukimfulia anafurahi,badala ya yeye kubeba vitu vyako ukambebea mkoba anafurahi,badala ya yeye kukufunga kama za viatu mfunge yeye kiatu chake inakua romantic ndomana unaona vipicha vya mwanaume kumfunga kamba za viatu mwanamke vinazagaa sana kwasababu it looks ROMANTIC.

-Anko Jei

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera kwa kumfanyia kinyume mpenzi wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaongelea experience au ??

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio manaake mjombaa! Huyo mwanamke unaemfanyia hizo style siku atakapo kuchenjia ulete mrejesho. Wanawake wetu wa kiafrika hawajakuzwa katika upendo kiasi cha kuutambua na kushukuru wanapofanyiwa vitendo vinavyoashiria upendo. Wengi wametoka kwenye familia ambazo baba ni kama mfalme unless otherwise baba yake awe alikuwa anayafanya hayo kipindi cha ukuaji akaona ni jambo la kawaida pia.

Kufanya hayo kwa binti aliokulia mazingira ya baba ni boss atakutafsiri kama upo weak sana kwake. Ataanza kukupelekesha na kukukejeli siku utayoanza kuona unaelemewa na hizo shughuli zako. Nakushauri ufanye hayo mke akiwa na uhitaji tu wa msaada mfano akiwa anaumwa.
 
Back
Top Bottom