ANKO JEI
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 1,278
- 2,364
- Thread starter
- #81
Hiyo nayo pointSasa mfanyie yote hayo ya kinyume harafu usimgegede vizuri aisee utakua houseboy
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo nayo pointSasa mfanyie yote hayo ya kinyume harafu usimgegede vizuri aisee utakua houseboy
Hongera kwa kumfanyia kinyume mpenzi wakoHabari wakuu,
Msinielewe vibaya na hiyo heading,nimekaa nimefikiria sana kuhusu kuboresha maenzi na hawa wanawake,kwa uzoefu wangu mdogo nilionao nimegundua kuna vitu vinapuuzwa ila vikifanywa,mwanamke anafurahi kwakua inakua very romantic,nakupa mfano,binafsi nilikua napenda sana misosi mitamu so nikajifunza kupika vyakula mbalimbali,hivyo ninapokua na mpenzi napenda kumpikia na kumuandalia kila kitu on the table,hiki kitendo huwa naona kabisa mwanamke anafurahia sana,na kuna vitu vingi vimezoeleka mwanaume ndo afanyiwe ila ukifanya kinyume na ukamfanyia mwanamke anafurahi,mfano ukimfulia anafurahi,badala ya yeye kubeba vitu vyako ukambebea mkoba anafurahi,badala ya yeye kukufunga kama za viatu mfunge yeye kiatu chake inakua romantic ndomana unaona vipicha vya mwanaume kumfunga kamba za viatu mwanamke vinazagaa sana kwasababu it looks ROMANTIC.
-Anko Jei
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha najua ningumu kuamini wapo watu wanaofanya hivyo,ila ndoninavyofanyaga hivo mkuu.Hahaa, huyu mleta uzi simuamini hivi, kama mjanja mjanja , ila kama unajitahidi pia ni vizuri mkuu. Inafanya penzi lisikinai yani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawajui wanawake wa kiafrika huyu. Ukijifanya romantic hayo yatageuka majukumu.yako na ugomvi utakuwa mkubwa siku ukigoma kupika na kudeki!Mkuu acha kuleta u romantic kwenye mambo ya msingi.
Hawa wanawake unawajua vizuri au unafanya imagination tu..!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaongelea experience au ??Hawajui wanawake wa kiafrika huyu. Ukijifanya romantic hayo yatageuka majukumu.yako na ugomvi utakuwa mkubwa siku ukigoma kupika
HahahaKwa mawazo haya " WE NI MJOMBA SIO ANKO" alisikika kijana mmoja akiongea na mwenzake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wako mbona ila wengi ni wazungu wanaojua kupendana kweli na wanawake zao wana shukurani. Sio waafrika! Hapo atakutangaza mme wangu ananipenda hafurukuti hadi ananifulia na kunipikia..chezea!!!Huhuu, ndyo bradha,hizo raha zake hakuna asopenda etii, ila ni kweli kuna wanaume wanaofanya hivo Kwa wake zao? Maana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio manaake mjombaa! Huyo mwanamke unaemfanyia hizo style siku atakapo kuchenjia ulete mrejesho. Wanawake wetu wa kiafrika hawajakuzwa katika upendo kiasi cha kuutambua na kushukuru wanapofanyiwa vitendo vinavyoashiria upendo. Wengi wametoka kwenye familia ambazo baba ni kama mfalme unless otherwise baba yake awe alikuwa anayafanya hayo kipindi cha ukuaji akaona ni jambo la kawaida pia.
Mwalimu JKN alisema ujinga na upumbavu ni kipaji kama ilivyo urefu na ufupi!Ushakua mjinga tayari