Wapo siumeona mleta uzi?Hata mimi najitahidi😀😀Huhuu, ndyo bradha,hizo raha zake hakuna asopenda etii, ila ni kweli kuna wanaume wanaofanya hivo Kwa wake zao? Maana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa, huyu mleta uzi simuamini hivi, kama mjanja mjanja , ila kama unajitahidi pia ni vizuri mkuu. Inafanya penzi lisikinai yaniWapo siumeona mleta uzi?Hata mimi najitahidi
Umeona eeeh,Hahaa, huyu mleta uzi simuamini hivi, kama mjanja mjanja , ila kama unajitahidi pia ni vizuri mkuu. Inafanya penzi lisikinai yani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa, kweli sijawahi zipata za hivo bradha. Ndyo maana nikauliza ni kweli haya mambo yanawezekanaUmeona eeeh,
Shangaa yako yenye huzuni inaashiria haupati hizi huduma au?
Yapo, japokuwa sio kwa kiasi kikubwa.Hahaa, kweli sijawahi zipata za hivo bradha. Ndyo maana nikauliza ni kweli haya mambo yanawezekana
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wakuu,
Msinielewe vibaya na hiyo heading,nimekaa nimefikiria sana kuhusu kuboresha maenzi na hawa wanawake,kwa uzoefu wangu mdogo nilionao nimegundua kuna vitu vinapuuzwa ila vikifanywa,mwanamke anafurahi kwakua inakua very romantic,nakupa mfano,binafsi nilikua napenda sana misosi mitamu so nikajifunza kupika vyakula mbalimbali,hivyo ninapokua na mpenzi napenda kumpikia na kumuandalia kila kitu on the table,hiki kitendo huwa naona kabisa mwanamke anafurahia sana,na kuna vitu vingi vimezoeleka mwanaume ndo afanyiwe ila ukifanya kinyume na ukamfanyia mwanamke anafurahi,mfano ukimfulia anafurahi,badala ya yeye kubeba vitu vyako ukambebea mkoba anafurahi,badala ya yeye kukufunga kama za viatu mfunge yeye kiatu chake inakua romantic ndomana unaona vipicha vya mwanaume kumfunga kamba za viatu mwanamke vinazagaa sana kwasababu it looks ROMANTIC.
-Anko Jei
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua wengine wanahisi kama huenda unataka kuwapanda kichwani hivi,yaani yeye akufanyie hivo na wala huumwi na huna shida yoyote sensitive duuh.Yapo, japokuwa sio kwa kiasi kikubwa.
At least you can show him you like it and wait for it.
😀😀😀I see.Unajua wengine wanahisi kama huenda unataka kuwapanda kichwani hivi,yaani yeye akufanyie hivo na wala huumwi na huna shida yoyote sensitive duuh.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa, naona mpk umeamua kujitolea kunifanyia , ahsanteeeI see.
Ni kuchukuliana hivyo hivyo.Teknolojia itakaporuhusu nitakufanyia mara moja moja
😀😀😀😀 karibu.
, hiyo teknolojia linii sasa?, Basi ndyo nishazikosa huduma hivyookaribu.
Ni hadi teknolojia iruhusu.
Usikate tamaa mapema hivyo., hiyo teknolojia linii sasa?, Basi ndyo nishazikosa huduma hivyoo
Usiku mwemaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee hii nomaKitu pekee cha kumfanyia mkeo ni kumkaza. Akihitaji hata umruke ukuta wewe ruka
Sent using Jamii Forums mobile app