Mwanaume ukimhudumia mwanamke mapenzi yanakuwa matamu sana

Umfanyie haya yote na bado hela umpe? Yaani utakuwa unatafuta hela halafu unarudi haraka home kumpikia? Wajibu wake katika mahusiano yenu Utakuwa upi? Kukupa papuchi tu? Come on! Hii ni zaidi ya ubwege, utakuwa kwa hiyari umeamua kuwa mtumwa wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli ila hizi haimaanishi ufanye kila siku...hata zile wikend mnazokua pamoja tu

Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
 
Mbona kuna watu wanafanya tofauti na hivyo na bado wanadharaulika na kuchapiwa??

Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
Ndo maana tunasema mwanamke ni kiumbe ambae ni very complicated huwezi kumfrahisha labda akwambie ni vitu anapenda kufanyiwa ili afrahi usijipe mzigo sana kutafta nn ufanye ili afrah muulize anapenda nn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono hoja,isipokuwa hapo kwenye kumbebea pochi,hiyo ni big no,Mwanaume kubeba pochi ya kike hadharani ni MWIKO,hata akijaribu kukubesha kemea kwa nguvu zote,ni dharau aibu na inakwenda kinyume na katiba,kanuni,tamaduni na dasturi zetu.Ikitokea dharura na hakuna namna basi nunua mfuko uliweke hilo pochi ndani yake kisha ndo ubebe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono hoja,isipokuwa hapo kwenye kumbebea pochi,hiyo ni big no,Mwanaume kubeba pochi ya kike hadharani ni MWIKO,hata akijaribu kukubesha kemea kwa nguvu zote,ni dharau aibu na inakwenda kinyume na katiba,kanuni,tamadunu na dasturi zetu.Ikitokea dharura na hakuna namna basi nunua mfuko uliweke hilo pochi ndani yake kisha ndo ubebe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahh mkuu kweli umesisitiza aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom