ANKO JEI
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 1,278
- 2,364
- Thread starter
- #41
Mbona kuna watu wanafanya tofauti na hivyo na bado wanadharaulika na kuchapiwa??Mapenzi ya kiboya sana hayo
Mwanamke unaweza kumfanyia vitu kama hvo badala ya kukupenda akakudharau had mwisho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app