Ukimfanyia kinyume inakua romantic sana


Bulaya001

Bulaya001

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2018
Messages
2,647
Points
2,000
Bulaya001

Bulaya001

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2018
2,647 2,000
nilipoona hiyo head ya habari asee mwili umenisisimuka sana, kumbe ni tofauti na ninavyodhani.. basi tutajitahidi kuwafanyia KINYUME..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
princemikazo

princemikazo

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2019
Messages
1,320
Points
2,000
princemikazo

princemikazo

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2019
1,320 2,000
Daah nimekuja
mbio,nilichokiwaza
Mungu anisamehe
 
M

mwakiri

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2018
Messages
204
Points
250
M

mwakiri

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2018
204 250
Habari wakuu,

Msinielewe vibaya na hiyo heading,nimekaa nimefikiria sana kuhusu kuboresha maenzi na hawa wanawake,kwa uzoefu wangu mdogo nilionao nimegundua kuna vitu vinapuuzwa ila vikifanywa,mwanamke anafurahi kwakua inakua very romantic,nakupa mfano,binafsi nilikua napenda sana misosi mitamu so nikajifunza kupika vyakula mbalimbali,hivyo ninapokua na mpenzi napenda kumpikia na kumuandalia kila kitu on the table,hiki kitendo huwa naona kabisa mwanamke anafurahia sana,na kuna vitu vingi vimezoeleka mwanaume ndo afanyiwe ila ukifanya kinyume na ukamfanyia mwanamke anafurahi,mfano ukimfulia anafurahi,badala ya yeye kubeba vitu vyako ukambebea mkoba anafurahi,badala ya yeye kukufunga kama za viatu mfunge yeye kiatu chake inakua romantic ndomana unaona vipicha vya mwanaume kumfunga kamba za viatu mwanamke vinazagaa sana kwasababu it looks ROMANTIC.

-Anko Jei

Sent using Jamii Forums mobile app
Usiahangaike mkuu wewe mpe pesa tu akitoka pesa akakikaa pesa akilala pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
blackcornshman

blackcornshman

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Messages
1,956
Points
2,000
blackcornshman

blackcornshman

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2016
1,956 2,000
Kama ni mgonjwa sawa,kama ni mzima na afya zake huo ni umama wa kiwango cha PHD.
 
E

Emoji06

Member
Joined
Jan 23, 2019
Messages
15
Points
43
E

Emoji06

Member
Joined Jan 23, 2019
15 43
hata ukimbebea mimba inakuwa romantic


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
afande kifimbo

afande kifimbo

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2015
Messages
5,823
Points
2,000
Age
48
afande kifimbo

afande kifimbo

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2015
5,823 2,000
HERE WE GO AGAIN....BAADAE NI VILIO TUU
 
toxic9

toxic9

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
10,316
Points
2,000
toxic9

toxic9

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
10,316 2,000
Labda akiuumwa, lakini mzima kabisa yani nianze kuosha vyombo, nipike, nifue, nipige deki huu yeye amekaa hii akili itakua sio ya mwanaume, labda mwanaume wa dar.

Anything for love
 
Norshad

Norshad

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2013
Messages
4,099
Points
2,000
Norshad

Norshad

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2013
4,099 2,000
All i know ni kupiga mashine kama nimeahidiwa pepo
 
stranger man

stranger man

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Messages
426
Points
500
stranger man

stranger man

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2014
426 500
Mkuu katika maisha usijitwishe kitu kama unahakika hauwez kumaintain au unafanya just kumridhisha siku ukiacha utapata tabu milawama isiyoisha
Ishi kama ulivyo mtu akupende the way ulivyo hata siku ukifanya ajue extra na sio mfumo wa maisha yako
 
kelbin

kelbin

Member
Joined
Jan 4, 2019
Messages
6
Points
45
kelbin

kelbin

Member
Joined Jan 4, 2019
6 45
Sina hakika sana kama wanaridhikaga.. ila ongeza juhud utafika unapotaka na utaona matokeo yake
 
CORAL

CORAL

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Messages
2,605
Points
2,000
CORAL

CORAL

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2011
2,605 2,000
Umume bwege huwa unaanza hivi hivi mdogo mdogo
Hapana sio umume bwege inategemea ni kwa kiwango gani anamfanyia hivyo mpenzi wake na ikiwa anafanya hivyo kwa hiari kabisa na sio kulazimishwa.
 

Forum statistics

Threads 1,283,568
Members 493,717
Posts 30,793,776
Top