Ukimfanyia kinyume inakua romantic sana


Mc cane

Mc cane

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2018
Messages
2,301
Points
2,000
Mc cane

Mc cane

JF-Expert Member
Joined May 18, 2018
2,301 2,000
Habari wakuu,

Msinielewe vibaya na hiyo heading,nimekaa nimefikiria sana kuhusu kuboresha maenzi na hawa wanawake,kwa uzoefu wangu mdogo nilionao nimegundua kuna vitu vinapuuzwa ila vikifanywa,mwanamke anafurahi kwakua inakua very romantic,nakupa mfano,binafsi nilikua napenda sana misosi mitamu so nikajifunza kupika vyakula mbalimbali,hivyo ninapokua na mpenzi napenda kumpikia na kumuandalia kila kitu on the table,hiki kitendo huwa naona kabisa mwanamke anafurahia sana,na kuna vitu vingi vimezoeleka mwanaume ndo afanyiwe ila ukifanya kinyume na ukamfanyia mwanamke anafurahi,mfano ukimfulia anafurahi,badala ya yeye kubeba vitu vyako ukambebea mkoba anafurahi,badala ya yeye kukufunga kama za viatu mfunge yeye kiatu chake inakua romantic ndomana unaona vipicha vya mwanaume kumfunga kamba za viatu mwanamke vinazagaa sana kwasababu it looks ROMANTIC.

-Anko Jei

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera kwa kumfanyia kinyume mpenzi wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ANKO JEI

ANKO JEI

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2018
Messages
300
Points
500
ANKO JEI

ANKO JEI

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2018
300 500
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
14,254
Points
2,000
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
14,254 2,000
Mkuu acha kuleta u romantic kwenye mambo ya msingi.

Hawa wanawake unawajua vizuri au unafanya imagination tu..!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawajui wanawake wa kiafrika huyu. Ukijifanya romantic hayo yatageuka majukumu.yako na ugomvi utakuwa mkubwa siku ukigoma kupika na kudeki!
 
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
14,254
Points
2,000
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
14,254 2,000
Huhuu, ndyo bradha,hizo raha zake hakuna asopenda etii, ila ni kweli kuna wanaume wanaofanya hivo Kwa wake zao? Maana

Sent using Jamii Forums mobile app
Wako mbona ila wengi ni wazungu wanaojua kupendana kweli na wanawake zao wana shukurani. Sio waafrika! Hapo atakutangaza mme wangu ananipenda hafurukuti hadi ananifulia na kunipikia..chezea!!!
 
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
14,254
Points
2,000
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
14,254 2,000
Unaongelea experience au ??

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio manaake mjombaa! Huyo mwanamke unaemfanyia hizo style siku atakapo kuchenjia ulete mrejesho. Wanawake wetu wa kiafrika hawajakuzwa katika upendo kiasi cha kuutambua na kushukuru wanapofanyiwa vitendo vinavyoashiria upendo. Wengi wametoka kwenye familia ambazo baba ni kama mfalme unless otherwise baba yake awe alikuwa anayafanya hayo kipindi cha ukuaji akaona ni jambo la kawaida pia.

Kufanya hayo kwa binti aliokulia mazingira ya baba ni boss atakutafsiri kama upo weak sana kwake. Ataanza kukupelekesha na kukukejeli siku utayoanza kuona unaelemewa na hizo shughuli zako. Nakushauri ufanye hayo mke akiwa na uhitaji tu wa msaada mfano akiwa anaumwa.
 

Forum statistics

Threads 1,285,062
Members 494,437
Posts 30,848,616
Top