Ukimfanyia kinyume inakua romantic sana


financial services

financial services

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2017
Messages
1,752
Likes
2,684
Points
280
financial services

financial services

JF-Expert Member
Joined May 17, 2017
1,752 2,684 280
Bradha

Bradha

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Messages
3,675
Likes
10,580
Points
280
Bradha

Bradha

JF-Expert Member
Joined Dec 18, 2017
3,675 10,580 280
otsward

otsward

Senior Member
Joined
Jan 14, 2018
Messages
114
Likes
50
Points
45
otsward

otsward

Senior Member
Joined Jan 14, 2018
114 50 45
Nilijua kinyume na maumbile
Habari wakuu,

Msinielewe vibaya na hiyo heading,nimekaa nimefikiria sana kuhusu kuboresha maenzi na hawa wanawake,kwa uzoefu wangu mdogo nilionao nimegundua kuna vitu vinapuuzwa ila vikifanywa,mwanamke anafurahi kwakua inakua very romantic,nakupa mfano,binafsi nilikua napenda sana misosi mitamu so nikajifunza kupika vyakula mbalimbali,hivyo ninapokua na mpenzi napenda kumpikia na kumuandalia kila kitu on the table,hiki kitendo huwa naona kabisa mwanamke anafurahia sana,na kuna vitu vingi vimezoeleka mwanaume ndo afanyiwe ila ukifanya kinyume na ukamfanyia mwanamke anafurahi,mfano ukimfulia anafurahi,badala ya yeye kubeba vitu vyako ukambebea mkoba anafurahi,badala ya yeye kukufunga kama za viatu mfunge yeye kiatu chake inakua romantic ndomana unaona vipicha vya mwanaume kumfunga kamba za viatu mwanamke vinazagaa sana kwasababu it looks ROMANTIC.

-Anko Jei

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 
financial services

financial services

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2017
Messages
1,752
Likes
2,684
Points
280
financial services

financial services

JF-Expert Member
Joined May 17, 2017
1,752 2,684 280
Yapo, japokuwa sio kwa kiasi kikubwa.
At least you can show him you like it and wait for it.
Unajua wengine wanahisi kama huenda unataka kuwapanda kichwani hivi,yaani yeye akufanyie hivo na wala huumwi na huna shida yoyote sensitive duuh.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bradha

Bradha

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Messages
3,675
Likes
10,580
Points
280
Bradha

Bradha

JF-Expert Member
Joined Dec 18, 2017
3,675 10,580 280
Unajua wengine wanahisi kama huenda unataka kuwapanda kichwani hivi,yaani yeye akufanyie hivo na wala huumwi na huna shida yoyote sensitive duuh.

Sent using Jamii Forums mobile app
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€I see.
Ni kuchukuliana hivyo hivyo.Teknolojia itakaporuhusu nitakufanyia mara moja moja๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 

Forum statistics

Threads 1,275,206
Members 490,931
Posts 30,535,727