Ukimfanyia kinyume inakua romantic sana


ANKO JEI

ANKO JEI

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2018
Messages
291
Likes
282
Points
80
ANKO JEI

ANKO JEI

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2018
291 282 80
Wewe unaosha vyombo, unapiga deki, unapika, unafua nguo na yeye ameweka miguu juu anaangalia TV ndiyo kumtemreat vizuri?
Haha hapana sio ufanye vyote hivyo mkuu unafanya baadhi tu unavyoona wewe unaweza kuvifanya na havikupi shida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M

Mwami Ntale

Member
Joined
May 26, 2018
Messages
68
Likes
66
Points
25
M

Mwami Ntale

Member
Joined May 26, 2018
68 66 25
Habari wakuu,

Msinielewe vibaya na hiyo heading,nimekaa nimefikiria sana kuhusu kuboresha maenzi na hawa wanawake,kwa uzoefu wangu mdogo nilionao nimegundua kuna vitu vinapuuzwa ila vikifanywa,mwanamke anafurahi kwakua inakua very romantic,nakupa mfano,binafsi nilikua napenda sana misosi mitamu so nikajifunza kupika vyakula mbalimbali,hivyo ninapokua na mpenzi napenda kumpikia na kumuandalia kila kitu on the table,hiki kitendo huwa naona kabisa mwanamke anafurahia sana,na kuna vitu vingi vimezoeleka mwanaume ndo afanyiwe ila ukifanya kinyume na ukamfanyia mwanamke anafurahi,mfano ukimfulia anafurahi,badala ya yeye kubeba vitu vyako ukambebea mkoba anafurahi,badala ya yeye kukufunga kama za viatu mfunge yeye kiatu chake inakua romantic ndomana unaona vipicha vya mwanaume kumfunga kamba za viatu mwanamke vinazagaa sana kwasababu it looks ROMANTIC.

-Anko Jei

Sent using Jamii Forums mobile app
Umfanyie haya yote na bado hela umpe? Yaani utakuwa unatafuta hela halafu unarudi haraka home kumpikia? Wajibu wake katika mahusiano yenu Utakuwa upi? Kukupa papuchi tu? Come on! Hii ni zaidi ya ubwege, utakuwa kwa hiyari umeamua kuwa mtumwa wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,262,506
Members 485,585
Posts 30,124,391