Ukimfanyia kinyume inakua romantic sana


ANKO JEI

ANKO JEI

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2018
Messages
291
Likes
282
Points
80
ANKO JEI

ANKO JEI

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2018
291 282 80
Habari wakuu,

Msinielewe vibaya na hiyo heading,nimekaa nimefikiria sana kuhusu kuboresha maenzi na hawa wanawake,kwa uzoefu wangu mdogo nilionao nimegundua kuna vitu vinapuuzwa ila vikifanywa,mwanamke anafurahi kwakua inakua very romantic,nakupa mfano,binafsi nilikua napenda sana misosi mitamu so nikajifunza kupika vyakula mbalimbali,hivyo ninapokua na mpenzi napenda kumpikia na kumuandalia kila kitu on the table,hiki kitendo huwa naona kabisa mwanamke anafurahia sana,na kuna vitu vingi vimezoeleka mwanaume ndo afanyiwe ila ukifanya kinyume na ukamfanyia mwanamke anafurahi,mfano ukimfulia anafurahi,badala ya yeye kubeba vitu vyako ukambebea mkoba anafurahi,badala ya yeye kukufunga kama za viatu mfunge yeye kiatu chake inakua romantic ndomana unaona vipicha vya mwanaume kumfunga kamba za viatu mwanamke vinazagaa sana kwasababu it looks ROMANTIC.

-Anko Jei

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkwawe

Mkwawe

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2016
Messages
1,116
Likes
1,883
Points
280
Mkwawe

Mkwawe

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2016
1,116 1,883 280
Mfanyie haya mwanamke unayejua tu kwamba kila mara husali kwa ajili yako na hukuombea ulinzi na mafanikio kwa Mungu

Vinginevyo ukiwafanyia hawa wanaotaka kufanana na akina Katy Perry au Kim Kardashian itakula kwako
Kanye West anjua zaidi
 

Forum statistics

Threads 1,262,506
Members 485,585
Posts 30,124,391