Ukimezea Tatizo Halitokwisha - Nimeipenda Sana Hii

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
488083_506585409367022_1291825973_n.jpg
 
Siyo kwa vyuo pekeyake, hata kwenye siasa kuna haja ya kuangalia..hili jambo ni kubwa sana kuliko tunavyofikiri ila kwa vyou ni mbaya sana coz there is no options..
 
Hivi TAKUKURU si wana uwezo wa kulishughulikia hili,hao wadada wanashindwa nini kutoa taarifa kisha kuwaelekeza jamaa eneo la tukio wakiwa na waandishi?Kulikomesha hili ni kazi rahisi sana tatizo kubwa ni kuwa wengi wa wanachuo siku hizi wanapenda mteremko..
 
Hawawezi, nao wataomba mechi ya kirafiki.
 
Takukuru ukiwaambia hii, wanamfuata profesa na kumtip kuwa unataka kum-set up. Prof anawapa hela halafu setup inageuzwa kibao kwako.
Dawa yake kuwa m'babe. Muambie tu mwalimu mie bado virgin naogopa, ila kunikamata huwezi manake napiga msuli balaa! Atakugwaya tu, lol!
Kuna mdada college aliambiwa na dr mmoja usiponipa utamu nakukamata. Akamuambia ooh, sorry doctor, mie mbona sinaga utamu? Akaigeuza joke akaishia zake. Stori ikaishia hapo.
Hivi TAKUKURU si wana uwezo wa kulishughulikia hili,hao wadada wanashindwa nini kutoa taarifa kisha kuwaelekeza jamaa eneo la tukio wakiwa na waandishi?Kulikomesha hili ni kazi rahisi sana tatizo kubwa ni kuwa wengi wa wanachuo siku hizi wanapenda mteremko..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom