Ukilitazama vyema Baraza 'jipya' la Mawaziri, Mzee Kikwete 'ameshaini' ila Mwendazake ametikisiwa 'ngome' yake

tutarajie kuona wauza unga na wafanyabiashara wadanganyifu wanarudi kwa kasi maana mzee wa msoga ndio alivuruga nchi. na sasa karudi upya kwa meno makali ya kubandika
 
Bado mnahangaika na mzimu wa hayati JPM?

Kama ndo hivyo Basi tunawapa mwaka mmoja kabla hamjaanza kujitetea.

Samia Mungu akutunze kwa maendeleo ya Tanzania. Wenye uchonganishi usiwasikilize.
 
Mkuu Vute Nkuvute, nilichokiona ni uhamisho tu wa mawaziri,, yule akae pale huyu akae huku na wala sio kutikiswa kama ulivyotamani iwe

Pili, kwenye paragraph yako ya kwanza unasema Bashiru kupewa ubunge ni njia ya kumuondoa kisiasa baada ya kuondolewa ktk Ukatibu mkuu kiongozi. Hili sidhani kama ni sahihi kwasababu nafasi ya ukatibu mkuu sio ya kisiasa bali kiutendaji zaidi na haina platform ya kumfanya katibu mkuu awe anaonekana mara kwa mara mbele ya media,

Ila nafasi ya ubunge ndio ya kisiasa zaidi na inamfaa sana Dk Bashiru, na pengine inaweza kumpa milleage kubwa sana huko baadae,, who knows..!!!

Dk Mpango alikuwa mbunge wa kuteuliwa, leo ni VP
Dr Shein aliula ubunge wa kuteuliwa 1995 kutoka kwa Dr Salmin Amour, kisha 2001 akawa VP - JMT kisha uraisi

Hvyo tusimalize sana wino kwa kudhani hilo ni anguko forever, maana hata kwa Mwigulu mlifanya sherehe alipobwagwa ktk post ya uwaziri mambo ya ndani

Mwisho, tusisahau kwamba ILANI YA CCM 2020-2025 ndio dirá kuu ya Serikali hii inayowahitaji wenye dhamana kuitekeleza vyema
Sawa, ni uhamisho lakini kwa jicho la kisiasa, hata kwenye uwaziri kuna demotion,/promotion, pia, kabudi, jafo na bashiru hizo ni demotion.huyo bashiru tunafahamu alikuwa anaandaliwa kuwa nani huko mbele ya safari, ndio maana aliinuliwa ghafla ghafla tu, sasa leo aliyemuinua hivyo hayupo ndio maana umeona kilichomkuta, huyo ndio basi tena, bado yule mwenzake bushman naye aliingizwa kwa staili hiyo hiyo chamani, na kuanza kuwatukana weny chama, naye ni suala la muda tu, akishaondolewa hicho cha ukatibu uenezi kuna nini tena?!!KUISHI KWA KUMTEGEMEA BINADAM MWENZAKO , UNA GHARAMA ZAKE!!!
Tatizo sio kwenye kutekeleza ilani ya ccm, bali ni namna ya utekelezaji wake daaa, mangapi hayakuwa kwenye ilani lakini kila siku yanaongezwa tu?kwa utashi wa meko?unafika sehemu mzuka unapanda "nasema hivi kesho zitakuja bilioni kumi hapa mjenge hilo jengo" utaendesha nchi kwa staili hiyo mambo yaende??wapi papaaa msofeee!!!ndama mtoto wa ng'ombe!!!akitajwa jina tu jukwaani ilikuwa ni kumwaga mi dola tu!!!miradi iliyotengewa pesa inakosa pesa kwa mambo ya mizuka!!fuata bajeti iliyopitishwa na bunge utaona wala huna kazi sanaa!!
 
Na kutoa macho ka mjusi aliyebanwa na mlango, Mimi hunichefua akitamaka neno Mia Tisa na kenda sijui
Na kutoa macho ka mjusi aliyebanwa na mlango, Mimi hunichefua akitamaka neno Mia Tisa na kenda sijui
... yaani Kabugi ana mambo ya kizamani kinoma, si ajabu hata akienda hotelini badala ya kutia órder' ya wali kuku ukamsikia: "niletee mchele na panza mbili"!
😅 😅 😅 😅 😅 💥💥💥
 
Sioni la maana hapo.Jaffo hata Marehemu alishamuona kwamba TAMISEMI kashindwa,kwa hiyo si ajabu kuondolewa na Samia.

Ila nii kweli Nchemba hakutegewa na watu wanaoitakia mema Tanzania kushika Wizara ya Fedha,he is not the right person,halafu record yake sio nzuri sana.Kwa nini Mama Samia kampa Wizara ya Fedha remains to be seen.

Mulamula si mjui sana,ila kama aliteuliwa na Kikwete ni lazima atakuwa na shida.Sasa niseme hapa pia kwamba sijui kwa nini Mama Samia kamteua Mulamula kushika Wizara ya Mambo ya Nje.Hata hivyo kwa kuwa tayari zipo dots,baadae tutazi-connect ili tuweze kujua kinacho endelea behind the curtain.

Naomba tusisahau kwamba Kikwete mabeberu walimkamata sana,sana hii inatosha kutupa question marks about Mulamula..
Well said! Watu wanadhani kuwa na uzoefu ndo sifa ya utendaji. Ok alikuwa UN, amekuwa balozi na Katibu mkuu kipindi cha Rais Kikwete je alitendea nini Tanzania? Tulishuhudia mikataba ya ovyo ya kimataifa upande wa kiuchumi.
Mahusiano na baadhi ya nchi kuleta migogoro mfano Malawi kuhusu mipaka ya ziwa Nyasa au Malawi. Mgogoro wa maneno na Rwanda. Wanyama kusafirishwa kwenda nje. Hata maswala ya ushoga au ndoa za jinsia moja yalileta sinto fahamu. Serikali ilikuwa na kigugumizi.
Kujaa kwa NGOs zilizo hamasisha ushoga. Sijui tumpe muda. Ila sioni Jipya.
 
Sawa, ni uhamisho lakini kwa jicho la kisiasa, hata kwenye uwaziri kuna demotion,/promotion, pia, kabudi, jafo na bashiru hizo ni demotion.huyo bashiru tunafahamu alikuwa anaandaliwa kuwa nani huko mbele ya safari, ndio maana aliinuliwa ghafla ghafla tu, sasa leo aliyemuinua hivyo hayupo ndio maana umeona kilichomkuta, huyo ndio basi tena, bado yule mwenzake bushman naye aliingizwa kwa staili hiyo hiyo chamani, na kuanza kuwatukana weny chama, naye ni suala la muda tu, akishaondolewa hicho cha ukatibu uenezi kuna nini tena?!!KUISHI KWA KUMTEGEMEA BINADAM MWENZAKO , UNA GHARAMA ZAKE!!!
Tatizo sio kwenye kutekeleza ilani ya ccm, bali ni namna ya utekelezaji wake daaa, mangapi hayakuwa kwenye ilani lakini kila siku yanaongezwa tu?kwa utashi wa meko?unafika sehemu mzuka unapanda "nasema hivi kesho zitakuja bilioni kumi hapa mjenge hilo jengo" utaendesha nchi kwa staili hiyo mambo yaende??wapi papaaa msofeee!!!ndama mtoto wa ng'ombe!!!akitajwa jina tu jukwaani ilikuwa ni kumwaga mi dola tu!!!miradi iliyotengewa pesa inakosa pesa kwa mambo ya mizuka!!fuata bajeti iliyopitishwa na bunge utaona wala huna kazi sanaa!!

Hayo ni mabadiliko ya kawaida sana pale kiongozi mkuu anaposhika hatamu

Sura ya Baraza la mawaziri 90% ni ile ile tu aliyoiacha JPM

Pia tuache kauli za kipuuzi za kujifariji eti team ya Hayati imetikiswa,,, imetikiswaje ilhali Dr Mpango aliyeinuliwa na JPM leo hii kaula uMAKAMU WA RAISI!???

Tusijadili mambo kwa hisia bali tumieni uhalisia
 
Mara nyingi mvinyo ukiwa ule ule hata ukibadilisha chupa outcomes utamu / uchungu ni ule ule...

Ila Awamu ya Tano badala ya kuwa na watendaji / wafanyakazi tulikuwa na washangiliaji/cheerleaders na wanapropaganda...., yaani mvinyo tulikuwa tunakunywa kwenye visosi.....
Shida watanzania tunapenda maneno ya kule
Sawa, ni uhamisho lakini kwa jicho la kisiasa, hata kwenye uwaziri kuna demotion,/promotion, pia, kabudi, jafo na bashiru hizo ni demotion.huyo bashiru tunafahamu alikuwa anaandaliwa kuwa nani huko mbele ya safari, ndio maana aliinuliwa ghafla ghafla tu, sasa leo aliyemuinua hivyo hayupo ndio maana umeona kilichomkuta, huyo ndio basi tena, bado yule mwenzake bushman naye aliingizwa kwa staili hiyo hiyo chamani, na kuanza kuwatukana weny chama, naye ni suala la muda tu, akishaondolewa hicho cha ukatibu uenezi kuna nini tena?!!KUISHI KWA KUMTEGEMEA BINADAM MWENZAKO , UNA GHARAMA ZAKE!!!
Tatizo sio kwenye kutekeleza ilani ya ccm, bali ni namna ya utekelezaji wake daaa, mangapi hayakuwa kwenye ilani lakini kila siku yanaongezwa tu?kwa utashi wa meko?unafika sehemu mzuka unapanda "nasema hivi kesho zitakuja bilioni kumi hapa mjenge hilo jengo" utaendesha nchi kwa staili hiyo mambo yaende??wapi papaaa msofeee!!!ndama mtoto wa ng'ombe!!!akitajwa jina tu jukwaani ilikuwa ni kumwaga mi dola tu!!!miradi iliyotengewa pesa inakosa pesa kwa mambo ya mizuka!!fuata bajeti iliyopitishwa na bunge utaona wala huna kazi sanaa!!
Swala la kusema kuna wenye chama hapo nakukatalia. Kila mwanachama ana haki ndani ya chama. Haijalishi kaingia lini katika chama. Kuna watu wanakifa hamu chama zaidi ya hao unao wadhania, lakini wametulia. Baba ya fulani kuwa kiongozi haimpi mwana kujiona chama ni Chao. Tanzania hatuna usultani.
 
Mtu Prof mzima anatukana wahisani sijawahi ona wallah, Yani kwa wizara ya Mambo ya nje mama Samia kateua mtu mzuri, shida ya mwendazake aliamini kuwa Prof na PhD ndo wako vzuri Bila kuangalia historia na experience
anatukana halaf anawafuata tena kufanya nao kazi.
inaitwa mindful games
 
Ukweli ni kwamba Enzi zimerudi na mama anamsikiliza sana mzee wa Msoga. Tutarajie kuona mengi
Kumsikiliza kikwete ni kurudi zama za ulaji tu bila nidhamu. Ninajua watanzania wengi tunaogopa sana nidhamu. Ingawa ni kweli uteuzi huu una nguvu kubwa ya Kikwete, lakini bado siyo uteuzi wenye tija sana kwa mustakhabali wa taifa. Unaruhusu conspiracy theories za kuwa jamaa aliuwawa makusudi ile mambo yageuke yawe hivi!! Jambo ambalo siyo zuri kwa uhai wa taifa.
 
anatukana halaf anawafuata tena kufanya nao kazi.
inaitwa mindful games
Watu wa naongelea kuwaita mabeberu ni tusi. Vijana wengi wa nashangaa hili neno. Mabeberu limetumika toka miaka ya Nyerere. Na waliitwa hivyo, na majina mengi tu ikimaanisha wanyonyaji. Sikuwahi kuona nchi ikikataa ushirikiano na Tanzania. Bali Tanzania ilishakataa ushirikiano na Mataifa ya uingereza, ujerumani mashariki na hata Israel. Na bado Nyerere walimuheshimu. Shida Leo tunataka tuwarambe miguu hawa mabeberu.
 
Mwingine aliyeaminiwa na Mwendazake na wengi wetu kujua ni Suleiman Jaffo ambaye jana amehamishiwa Ofisi ya Makamu wa Rais. Jaffo alikuwa akisifiwa na Mwendazake kwenye utendaji wake TAMISEMI na hata kuoneshwa kama mfano wa kuigwa
Hili ni fumbo la imani: mwendazake ilitanabaisha kuwa Jafo hafanyi vyema. Kusema ukweli Jafo alipwaya kwenye Wizara hii, wizi mkubwa na matumizi mabaya ya fedha za umma umefanyika chini ya utawala wake
 
Watu wa naongelea kuwaita mabeberu ni tusi. Vijana wengi wa nashangaa hili neno. Mabeberu limetumika toka miaka ya Nyerere. Na waliitwa hivyo, na majina mengi tu ikimaanisha wanyonyaji. Sikuwahi kuona nchi ikikataa ushirikiano na Tanzania. Bali Tanzania ilishakataa ushirikiano na Mataifa ya uingereza, ujerumani mashariki na hata Israel. Na bado Nyerere walimuheshimu. Shida Leo tunataka tuwarambe miguu hawa mabeberu.
nadhani una miss the point. kuna political poison inatembea.
J.K.Nyerere alikuwa smart, alikuwa ana jua when pa kukosoa, muda gani awaite mebeberu. na muda gani asifanye.
even though taifa lilikuwa changa by then.
bado mwalimu alifanikiwa sana. tofauti na kipindi cha sasa ambapo mwanasiasa anatokea jukwaani na kubwatuka beberu..
bila kujali when and how.. ( na hii ndio inawatofautisha na Nyerere, he was wise).

now hata wakivurunda kwa udhaifu wao wenyewe. blame on beberu.
beberu amefanyika kivuli cha wanasiasa kujificha madhaifu yao. japokuwa si wote.
na sisemi kuwa mabeberu ni wazuri nope.. wana madudu yao pia.. lazima tuyakatae.

but in a wise way. na sio kuwa rational na kila kitu.
 
Back
Top Bottom