Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,708
- 12,789
Mambo yamepinduka juu chiniSwali la nyongeza mh Bashiru .....
NW Silinde Majibu tafadhari..
Mambo yamepinduka juu chiniSwali la nyongeza mh Bashiru .....
NW Silinde Majibu tafadhari..
Nahisi neno Mabeberu alikaririshwa bila kujua maana yakeSure
Bila kusahau macho ya tashwishwiNa ule utoko mdomoni mwake kingoni mwamdomo akiwa anaongea ,hua ananiboa nashingo yake
Yule hakuwa vizuri kiafya tumsamehe bure ndiyo maana muda mwingi alikuwa na hasira snNahisi neno Mabeberu alikaririshwa bila kujua maana yake
Katika watu wameongea pumba ni wewe na pengine hujui hata mada inahusu niniKichaa cha mbeligiji kimewashukia Ufipa wote!!
Mnatiana moyo katika mambo ya kijinga Sana, Jk ni CCM na JPm ni CCM pia Rais aliyepo bila kusahau mawaziri wote ni CCM!!
Wengi tunajua kuwa Balozi Bashiru Ally Kakurwa alikuwa kipenzi cha Mwendazake. Alianza naye kwenye ukaguzi wa mali za CCM na baadaye kumteua kuwa Katibu Mkuu wa CCM Taifa. Na mwishoni, akamteua kuwa Balozi na Katibu Mkuu Kiongozi. Jana, Balozi Bashiru ameteuliwa kuwa Mbunge. Hiyo ni njia ya kumuondoa Bashiru kisiasa kwenye nafasi ya Katibu Mkuu Kiongozi. Pigo kwenye ngome ya Mwendazake.
Mwingine aliyeaminiwa na Mwendazake na wengi wetu kujua ni Suleiman Jaffo ambaye jana amehamishiwa Ofisi ya Makamu wa Rais. Jaffo alikuwa akisifiwa na Mwendazake kwenye utendaji wake TAMISEMI na hata kuoneshwa kama mfano wa kuigwa. Sasa TAMISEMI imekabidhiwa kwa mdogo wangu Ummy Mwalimu. TAMISEMI imeonekana inapwaya chini ya Jaffo aliyekuwa akionekana mahiri na Mwendazake. Ngome imetikiswa.
Profesa Kabudi alikuwa akisifiwa na kupigiwa mfano katika kuitetea nchi kimataifa kwenye Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Alionwa na Mwendazake kama 'kiboko' katika majadiliano na mazungumzo na hata kufikisha ujumbe kwa wazungu. Jana, amempisha Balozi Liberata Mulamula kwenye Wizara hiyo. Yeye 'amerejeshwa' Wizara ya Katiba na Sheria alikoanzia mwaka 2016. Ngome ya Mwendazake imeguswa na kugusika.
Mazao ya Kikwete (Balozi Mulamula na Dr. Mwigulu Nchemba) yameshaini. Mzee Kikwete ndiye aliyemteua Balozi Mulamula kuwa Balozi, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na kadhalika. Mzee Kikwete ndiye aliyemteua Mwigulu kuwa Naibu Katibu Mkuu CCM Taifa na Naibu Waziri wa Fedha chini ya Saada Mkuya. Ni Mzee Kikwete ndiye aliyekuwa akifanya kazi kwa uakaribu mkubwa na Balozi Mulamula na Mwigulu. Upande wake umeshaini.
Mzee Kikwete amewaimarisha Balozi Mulamula kwenye diplomasia/ushirikiano wa kimataifa na Mwigulu kwenye mambo ya fedha. Mzee Kikwete amepata matunda kwenye mbegu alizozipanda chamani na Serikalini. Mzee Kikwete ameshaini huku Mwendazake akitikisiwa ngome yake.
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Unaleta siasa za makundi!!!!?Wengi tunajua kuwa Balozi Bashiru Ally Kakurwa alikuwa kipenzi cha Mwendazake. Alianza naye kwenye ukaguzi wa mali za CCM na baadaye kumteua kuwa Katibu Mkuu wa CCM Taifa. Na mwishoni, akamteua kuwa Balozi na Katibu Mkuu Kiongozi. Jana, Balozi Bashiru ameteuliwa kuwa Mbunge. Hiyo ni njia ya kumuondoa Bashiru kisiasa kwenye nafasi ya Katibu Mkuu Kiongozi. Pigo kwenye ngome ya Mwendazake.
Mwingine aliyeaminiwa na Mwendazake na wengi wetu kujua ni Suleiman Jaffo ambaye jana amehamishiwa Ofisi ya Makamu wa Rais. Jaffo alikuwa akisifiwa na Mwendazake kwenye utendaji wake TAMISEMI na hata kuoneshwa kama mfano wa kuigwa. Sasa TAMISEMI imekabidhiwa kwa mdogo wangu Ummy Mwalimu. TAMISEMI imeonekana inapwaya chini ya Jaffo aliyekuwa akionekana mahiri na Mwendazake. Ngome imetikiswa.
Profesa Kabudi alikuwa akisifiwa na kupigiwa mfano katika kuitetea nchi kimataifa kwenye Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Alionwa na Mwendazake kama 'kiboko' katika majadiliano na mazungumzo na hata kufikisha ujumbe kwa wazungu. Jana, amempisha Balozi Liberata Mulamula kwenye Wizara hiyo. Yeye 'amerejeshwa' Wizara ya Katiba na Sheria alikoanzia mwaka 2016. Ngome ya Mwendazake imeguswa na kugusika.
Mazao ya Kikwete (Balozi Mulamula na Dr. Mwigulu Nchemba) yameshaini. Mzee Kikwete ndiye aliyemteua Balozi Mulamula kuwa Balozi, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na kadhalika. Mzee Kikwete ndiye aliyemteua Mwigulu kuwa Naibu Katibu Mkuu CCM Taifa na Naibu Waziri wa Fedha chini ya Saada Mkuya. Ni Mzee Kikwete ndiye aliyekuwa akifanya kazi kwa uakaribu mkubwa na Balozi Mulamula na Mwigulu. Upande wake umeshaini.
Mzee Kikwete amewaimarisha Balozi Mulamula kwenye diplomasia/ushirikiano wa kimataifa na Mwigulu kwenye mambo ya fedha. Mzee Kikwete amepata matunda kwenye mbegu alizozipanda chamani na Serikalini. Mzee Kikwete ameshaini huku Mwendazake akitikisiwa ngome yake.
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Prof aligeuka kituko wallah, tofauti na Kabudi yule wa UDSM wakati ule, sijui Mwendazake alikuwa anawanywesha nini hawa watu, maana wote waligeuka kuwa puppets.Ila kabudi alikuwa empty set kwenye Mambo ya kimataifa mama Samia kwa huyo waziri wa Mambo ya nje ana cv nzuri kwelikweli
Mungu amekomesha yule jamaa alietaka kujifanya mungu mdogo..kamuonyesha nani Ni naniMimi hata angeteua mnyama lakini kwa kuwa tunaanza upya kwa matumaini mapya bila yale mambo hasi naona sawa tu. Yaani ghafla Tanzania iligeuka Rwanda na Burundi. Ni maisha mabovu mno kutokea. Mh. Rais teua tu kulingana na unavyoona inakupendeza wala usisikilize miluzi. Tunakuombea mema mno. Mungu ni hakimu mzuri sana na alihukumu vilivyo kabisa.
Bashungwa ndio kabisa yupoyupo tu. Naamini Kati ya mawaziri wa mama watakao kuwepo kwa muda mfupi zaidi yeye ni mmoja wao.Mama Samia karocha kumuacha bashungwa..na ndungulile..Hawa mawaziri ni zero kabisa...hawana ubunifu wapo wapo tu Kama.mapopoma
JPM yupi tena?.Kichaa cha mbeligiji kimewashukia Ufipa wote!!
Mnatiana moyo katika mambo ya kijinga Sana, Jk ni CCM na JPm ni CCM pia Rais aliyepo bila kusahau mawaziri wote ni CCM!!
AhahaaaaKweli aisee lile ni debe tupu kabisa
Pamoja snAhahaaaa