Ukilewa sifa sana mwishowe unaanza kuropoka mambo yasiyo na mantiki kabisa

Huyu mwanasheria mkuu wa CHADEMA eti anadai kuwa anapinga mfumo uliomweka rais Magufuli madarakani.

Cha ajabu ni kwamba hicho chama chake kimeshiriki chaguzi zote za vyama vingi tokea 1995 na kama sikosei miaka yote ya uchaguzi mkuu walikuwa na mgombea urais.

Sasa eti leo anapinga mfumo uliomweka madarakani rais Magufuli. Kwa msingi huo pia alipinga urais wa Mkapa na Kikwete pia.

Kama anapinga huo mfumo uliopo kwa nini alimpigia kampeni Dkt. Slaa 2010 alipogombea urais?

Kama anapinga mfumo uliopo kwa nini yeye na wenzake walibadili gia angani na kumchukua Lowassa aliyetemwa na CCM kuwa ndo mgombea wao?

Kama Lowassa angeshinda hiyo 2015 sidhani kama angeupinga huo urais wake. Si ajabu angeteuliwa kushika nyadhifa mojawapo angekubali haraka haraka kwa bashasha na hamu ya mtoto aliyepewa jojo.

Eti anapinga mfumo uliomweka Magufuli madarakani....kwani yeye ni mfumo gani uliomweka huko bungeni?

Si kashiriki chaguzi ambazo zilifanyika chini ya katiba hii hii inayotumika sasa! Tume ya uchaguzi iliyomtangaza Magufuli kuwa ndo mshindi ndo hiyo hiyo iliyomtangaza yeye Lissu kuwa mshindi wa hicho kiti chake.

Kwa hiyo ina maana pia anaupinga mfumo uliompeleka yeye bungeni, siyo?

Siku zote hawa watu nimekuwa nikiwaambia kama wakitaka wawe na mamlaka ya kimaadili dhidi ya mfumo wa uchaguzi tulionao basi waache kushiriki chaguzi zinazofanyika chini ya tume ya uchaguzi iliyopo pamoja na katiba hadi hapo zitapopatikana mpya.

Zaidi ya hapo wataishia kuonekana ni wanafiki wafamaji tu!

Oh kingine...eti [yeye Lissu] anamwambia Magufuli kwamba kama anataka Lissu atumikie nchi hii basi tubadilishe katiba.

Kwani sasa hivi yeye Lissu kuwa mbunge hatumikii nchi hii kwa katiba hii hii anayoitaka ibadilishwe?

This guy is so overrated when truth of the matter is he is just a fair to middling lawyer!

He has won most if not all of his courtroom battles. If he is just fair to middling lawyer where does that put his opponents?
 
Haeleweki kabisa aisee.

Tatizo lake anapenda kufungua mdomo wake kama kasuku.

Anaunanga mfumo uliomweka Magufuli madarakani wakati ndo mfumo huo huo uliomweka yeye bungeni na ndo mfumo huo huo ambao chama chake huwa kinashiriki chaguzi chini yake.
Kinachochekesha zaidi aliapa kuwa atailinda na kuitetea katiba ambayo kwayo ndiyo chanzo cha mfumo anatupigia porojo kuwa hawezi kuufanyia kazi.

Aliposema kwa nguvu haya maneno hakufahamu maana yake;

'Nitaihifadhi, Nitailinda na Kuitetea Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania'

Huyu jamaa anachekesha kweli.
 
Huyu mwanasheria mkuu wa CHADEMA eti anadai kuwa anapinga mfumo uliomweka rais Magufuli madarakani.

Cha ajabu ni kwamba hicho chama chake kimeshiriki chaguzi zote za vyama vingi tokea 1995 na kama sikosei miaka yote ya uchaguzi mkuu walikuwa na mgombea urais.

Sasa eti leo anapinga mfumo uliomweka madarakani rais Magufuli. Kwa msingi huo pia alipinga urais wa Mkapa na Kikwete pia.

Kama anapinga huo mfumo uliopo kwa nini alimpigia kampeni Dkt. Slaa 2010 alipogombea urais?

Kama anapinga mfumo uliopo kwa nini yeye na wenzake walibadili gia angani na kumchukua Lowassa aliyetemwa na CCM kuwa ndo mgombea wao?

Kama Lowassa angeshinda hiyo 2015 sidhani kama angeupinga huo urais wake. Si ajabu angeteuliwa kushika nyadhifa mojawapo angekubali haraka haraka kwa bashasha na hamu ya mtoto aliyepewa jojo.

Eti anapinga mfumo uliomweka Magufuli madarakani....kwani yeye ni mfumo gani uliomweka huko bungeni?

Si kashiriki chaguzi ambazo zilifanyika chini ya katiba hii hii inayotumika sasa! Tume ya uchaguzi iliyomtangaza Magufuli kuwa ndo mshindi ndo hiyo hiyo iliyomtangaza yeye Lissu kuwa mshindi wa hicho kiti chake.

Kwa hiyo ina maana pia anaupinga mfumo uliompeleka yeye bungeni, siyo?

Siku zote hawa watu nimekuwa nikiwaambia kama wakitaka wawe na mamlaka ya kimaadili dhidi ya mfumo wa uchaguzi tulionao basi waache kushiriki chaguzi zinazofanyika chini ya tume ya uchaguzi iliyopo pamoja na katiba hadi hapo zitapopatikana mpya.

Zaidi ya hapo wataishia kuonekana ni wanafiki wafamaji tu!

Oh kingine...eti [yeye Lissu] anamwambia Magufuli kwamba kama anataka Lissu atumikie nchi hii basi tubadilishe katiba.

Kwani sasa hivi yeye Lissu kuwa mbunge hatumikii nchi hii kwa katiba hii hii anayoitaka ibadilishwe?

This guy is so overrated when truth of the matter is he is just a fair to middling lawyer!

Jibu ni one liner: You have to be in the system in order to beat the system, but don't ever let the system trick you.

How about that?
 
He has won most if not all of his courtroom battles. If he is just fair to middling lawyer where does that put his opponents?

Most of what you call 'courtroom battles' are usually frivolous lawsuits that almost anybody with half a brain could win!
 
Huyu mwanasheria mkuu wa CHADEMA eti anadai kuwa anapinga mfumo uliomweka rais Magufuli madarakani.

Cha ajabu ni kwamba hicho chama chake kimeshiriki chaguzi zote za vyama vingi tokea 1995 na kama sikosei miaka yote ya uchaguzi mkuu walikuwa na mgombea urais.

Sasa eti leo anapinga mfumo uliomweka madarakani rais Magufuli. Kwa msingi huo pia alipinga urais wa Mkapa na Kikwete pia.

Kama anapinga huo mfumo uliopo kwa nini alimpigia kampeni Dkt. Slaa 2010 alipogombea urais?

Kama anapinga mfumo uliopo kwa nini yeye na wenzake walibadili gia angani na kumchukua Lowassa aliyetemwa na CCM kuwa ndo mgombea wao?

Kama Lowassa angeshinda hiyo 2015 sidhani kama angeupinga huo urais wake. Si ajabu angeteuliwa kushika nyadhifa mojawapo angekubali haraka haraka kwa bashasha na hamu ya mtoto aliyepewa jojo.

Eti anapinga mfumo uliomweka Magufuli madarakani....kwani yeye ni mfumo gani uliomweka huko bungeni?

Si kashiriki chaguzi ambazo zilifanyika chini ya katiba hii hii inayotumika sasa! Tume ya uchaguzi iliyomtangaza Magufuli kuwa ndo mshindi ndo hiyo hiyo iliyomtangaza yeye Lissu kuwa mshindi wa hicho kiti chake.

Kwa hiyo ina maana pia anaupinga mfumo uliompeleka yeye bungeni, siyo?

Siku zote hawa watu nimekuwa nikiwaambia kama wakitaka wawe na mamlaka ya kimaadili dhidi ya mfumo wa uchaguzi tulionao basi waache kushiriki chaguzi zinazofanyika chini ya tume ya uchaguzi iliyopo pamoja na katiba hadi hapo zitapopatikana mpya.

Zaidi ya hapo wataishia kuonekana ni wanafiki wafamaji tu!

Oh kingine...eti [yeye Lissu] anamwambia Magufuli kwamba kama anataka Lissu atumikie nchi hii basi tubadilishe katiba.

Kwani sasa hivi yeye Lissu kuwa mbunge hatumikii nchi hii kwa katiba hii hii anayoitaka ibadilishwe?

This guy is so overrated when truth of the matter is he is just a fair to middling lawyer!

Huyo unayemuita "so overrated, fair to middling lawyer" amekuzidi kila kitu. Amekuzidi elimu, IQ, umaarufu, cheo, heshima na hata familia yake ni bora kuliko wewe mbeba mabox wa marekani. Unatia hata kinyaa siku hizi kwa sababu tu ya ukabila. Unatetea upuuzi kwa sababu tuu unafanywa na ngosha mwenzako.
 
Nadhani msingi wa hoja yako upo katika sentensi yako ya mwisho. Labda kama unadhani yupo overrated, kwanini basi upoteze muda wako "kumwandama almost on daily basis?"
 
Ukiona watu wanatokwa povu kiasi hiki basi ujue dozi imepenya.

Na si imepenya tu. Yaani ni kwamba imepenya hadi kunako kabisa.
 
Wivu wa nini ilhali hata hatufahamiani kibinafsi?

Ana nini ambacho mimi sina?
Lisu ni mwanasheria msomi ni nguli wa kufafanua sheria na Katiba ya Nchi na ameshinda kesi nyingi sana mahakamani.
Pia ni mwanasheria mkuu wa Cdm, Bunge wa Ikungi na ni Rais wa TLS.
Tupe wasifu wako wewe ambao ni well known publically.
 
Nadhani msingi wa hoja yako upo katika sentensi yako ya mwisho. Labda kama unadhani yupo overrated, kwanini basi upoteze muda wako "kumwandama almost on daily basis?"

Mimi wala simwandami.

Ni yeye na kimbelembele chake ndo kinanifanya nimzungumzie.
 
Nyani povu la nini? Tulia uvute pumzi kidogo then umwage uzi ili tunaeleke.
 
Alichofanikiwa Lissu (na kwa hilo nampongeza) ni kuwaaminisha chadema, na wengine, kwamba yeye ni bingwa wa sheria na neno lake ndiyo sheria ilivyo. Yaani anachofanya ni "sheria-siasa", kwa maana ya kuchanganya sheria na porojo za siasa za kipinzani dhidi ya Serikali.

Fanya Lissu sio mbunge,sio mwanasiasa na wala si mwanachama wa Chadema bali ni rais wa chama cha wanasheria (Tanganyika)Tanzania,kwahiyo wale wanasheria wote tunaowajua na tusiowajua ambao wamemchagua Lissu kuwa rais wa chama chao ni watu wa ovyo wasiojua lolote na kwamba Lissu anawaburuza tu?
 
Ukiona watu wanatokwa povu kiasi hiki basi ujue dozi imepenya.

Na si imepenya tu. Yaani ni kwamba imepenya hadi kunako kabisa.
Ukweli ni kuwa Tundu Lissu ni mheshimiwa tena ni Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani bungeni, prominent lawyer, mmoja kati ya watu maarufu nchini na hata nje ya mipaka ya nchi tofauti na wewe hata huna guts za kutumia jina lako unajiita Nyani Ngabu, mbeba mabox wa marekani, hujulikani hata jinsia yako kama ni mke au mme!
 
52 Reactions
Reply
Back
Top Bottom