Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Mtumishi mwenzangu

Ni hali isiyoepukika kwamba tunapowapoteza wale tunaowapenda, maisha yetu hubadilika moja kwa moja.

Pamoja na mambo kadhaa tunayoweza kushauriwa na watu wetu wa karibu wenye nia njema, ila ukweli unabaki 'there is no getting over it' ama 'moving on'.

The only option tunabaki nayo, ni ku relearn maisha kwa ujumla. Maisha bila mpendwa wetu.

You have to relearn new ways of taking care of yourself, and sleeping is one of those things, mama mtumishi.

Hii hali unaipitia sasa inaitwa grief & insomnia. Kiukweli, hii ni moja kati ya stressful experiences mwanadamu anaweza pitia.

Hata hivyo, ukweli unabaki pale pale kwamba lazima upite hapa. Na, lazima upite katika namna ambayo mzee wetu atakua proud of you huko alipo.

Sio counselors, pombe wala chochote kinaweza kukutoa hapa. Only time will heal you + efforts kadhaa kutoka kwako mwenyewe.

Uzuri ni kwamba, Mungu ametuumba ku cope automatically na different situations kwenye maisha yetu. Utavuka hapa with time, trust me (I have been there as well....siongei hadithi)

Nini cha kufanya kwa sasa?

✓ Prayers (huu ndo wakati wa kumshukuru Mungu hata kama amefanya yale ambayo hatukuyataka)
✓ Socialize sana (kama unavyofanya huku)
✓Jitahidi kuwa as busy as possible - Hapa ishughulishe sana akili ichoke kiasi cha kuona option pekee iliyopo ni usingizi.
✓Kwa kujiweka busy, embu jiahidi kwamba utatumia wakati huu wa kuomboleza kufanya kitu remarkable ambacho angekuwepo angekua very proud of you. Kuna kitu unaweza fanya....pata muda uwaze vizuri.

Again, sisemi kwamba itakua rahisi....far from it.

Lakini, kwa uwezo wa Mungu, utavuka hapa. Stay positive, tunakupenda.
Asante kwa ushauri
Tatizo ni kwamba hata nichoke vipi,usiku stress na mshtuko uko pale pale,,
Kichwa changu sometimes hata Mimi mwenyewe sikielewi,wengine wote washakuwa normal ila mimi hali yangu kimawazo inazidi kuwa mbaya zaidi kadiri siku zinavyoenda..nanyong'onyea,hadi mwili unapukutika.

Anyway,tuyaache haya,tunaharibu thread ya watu.

Sasa mtumishi hutaki nijaribu kawine ili nione kavibe ulikokasema
 
  • Masikitiko
Reactions: Pep

Look, wengine kuwa normal except you, lisikusumbue...every single person experiences grief differently and a lot depends on your relationship with the person lost.

Your time will come, just stay positive.

_______________________________________________________

Of course, with some sort of control and discipline...kuna ka vibe fulani mubashara sana 🤣🤣

Hata hivyo, kwa situation yako ya sasa ni rahisi sana kuingia kwenye addiction.

Kwa hivyo mpaka sasa, sio tu sishauri, mtumishi mwenzangu....bali na INSIST kwamba usijaribu.
 
Look, wengine kuwa normal except you, lisikusumbue...every single person experiences grief differently and a lot depends on your relationship with the person lost.

Your time will come, just stay positive.

_______________________________________________________

Of course, with some sort of control and discipline...kuna ka vibe fulani mubashara sana

Hata hivyo, kwa situation yako ya sasa ni rahisi sana kuingia kwenye addiction.

Kwa hivyo mpaka sasa, sio tu sishauri, mtumishi mwenzangu....bali na INSIST kwamba usijaribu.
Mtumishi wewe unapata kavibe ila mimi unani insist kwa herufi kubwa nisijaribu

Kila kitu kina kiasi, nadhani naweza kucontrol..
Kitu ambacho siwezi kucontrol maishani ni machozi na stress tu.

Badili basi ushauriili nitembee kifua mbeleeee nikajaribu
 
There's a better way..

Wacha niingie 'magotini' kuanzia mapema kesho

Huko ntapata jibu kama nimruhusu mama mtumishi anywe mvinyo uliotiwa chachu ama la!

Sitanyamaza mpaka tumepata majibu
 
There's a better way..

Wacha niingie 'magotini' kuanzia mapema kesho

Huko ntapata jibu kama nimruhusu mama mtumishi anywe mvinyo uliotiwa chachu ama la!

Sitanyamaza mpaka tumepata majibu

Unataka kujitesa kusali??

Toa tu majibu sasahivi halafu kesho utaenda tu kufanya proof kwa maombi.

Halafu Mtumishi mbona nitasubiri vitu vingi Sasa,maana picha tu nazisubiri hadi Leo.
 
  • Kicheko
Reactions: Pep

Unataka kujitesa kusali??

Toa tu majibu sasahivi halafu kesho utaenda tu kufanya proof kwa maombi.

Halafu Mtumishi mbona nitasubiri vitu vingi Sasa,maana picha tu nazisubiri hadi Leo.
Zoezi la picha limefikia hatua nzuri mtumishi mwenzangu.

Ila kwa sasa hivi wacha nilifanyie kazi hili lenye uharaka.

Wacha niendelee kutafakari neno litakaloniangoza kwenye huu mfungo nnaouanza kesho.

As I promised, sitanyamaza mpaka majibu yamedhihirika
 
Dah mtumishi una viporo vingi
Fanya upunguze kimoja Leo
 
  • Kicheko
Reactions: Pep
Nina rafiki yangu akilewa anaanza kulia na kuwakumbuka ndugu, jamaa na marafiki woote waliokufa.

Mwingine yeye ni kucheka, yaani anakuwa na furaha hatari.
 
Kila aina ya pombe na tabia zake!
Mimi kinywaji changu ni KVANT sio kwamba naipenda sana noo sababu naimudu gharama yake!

Nikilewa kvant huwa natoa siri sana halafu nakuwa mmbea kinoma...
Kama uliniambia ishu ya siri ukanisisitiza nisiiseme!!!...nikinywa kvant nitaitoa tuu halafu hapohapo naanza kujutia...
Najiapia sitakunywa tena kvant!!

Lakini utasema nimeandikiwa fungu langu ni la kvant tuuu.kesho nitainywa.

Bia ni mpenzi wa kili..
Nitakunywa nitalewa vzr nitaongea point taeleweka..
Ila mwisho kvant lazma ihusike..
 
Nina rafiki yangu akilewa anaanza kulia na kuwakumbuka ndugu, kamaa na marafiki woote waliokufa.

Mwingine yeye ni kucheka, yaani anakuwa na furaha hatari.

Kweli pombe siyo chai.

Kuna mwingine akilewa eti anaanza kuwahadithia wenzie namna alivyopambana kimaisha na mkewe,
Halafu akifikiria anavyomcheat mkewe anaanza kuumia..anachukua simu anampigia mkewe anaanza kumwambia namna anavyompenda hadi analia

Mkewe akiona simu inaita anajua tayari jamaa alishawaka pombe zimekolea
 
Mama mtumishi mama mtumishi

Unakubali kweli baba mtumishi a blow cover online?

Okay, twende eneo la tukio

It is a promise...ahadi ni deni.
Una deni.

Mimi najua ahadi zako ni amini na kweli
Don't let me down please baba mtumishi.

Yaani hapa chagua,either picha au ubadili ushauri kuhusu pombe
 
It is a promise...ahadi ni deni.
Una deni.

Mimi najua ahadi zako ni amini na kweli
Don't let me down please baba mtumishi.

Yaani hapa chagua,either picha au ubadili ushauri kuhusu pombe
Hatimaye nimepiga selfie moja hapa tayari mama mtumishi

Lakini inakuja na masharti lukuki kama misaada wa mabeberu 🤣 🤣

Promise kwamba nikiipandisha hiyo hapa basi suala la mvinyo tutaliweka pending
 
Nataka siku moja nijaribu kunywa nione kulewa kunakuwaje.
Ila nadhani siwezi kulewa .

Sent using Jamii Forums mobile app
Si unasikiaga tu fulani kapiga samba soti!!.. kajaribu nawewe ushuhudie hapa utakavyofika juu ya Dari.

NB: ukinywa usisahau kuvaa suruali usije piga samba soti ukatuachia radhi sie..😂

Back
Top Bottom