Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Dom nimekaa miaka mingi sana,nimeishia kupajua jamatin.
Sijui kwanini sikujaribu kujichanganya na mm siku moja niende huko Pestana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pale nyerere square kwa hivi kidogo kama waja halotel unaikuta maisha club kwa nje palikuwaga na vyuku amazing ila hawajawafikia chako ni chako.

Usiniambie pia ulikuwa huli kuku. Na bakhresa pia?
 
Hana anachojua... afu wala hana shida anaona sawa tu.

Yeye na mpenzi wake wote ni kanisani then nyumbani
 
Pale nyerere square kwa hivi kidogo kama waja halotel unaikuta maisha club kwa nje palikuwaga na vyuku amazing ila hawajawafikia chako ni chako.

Usiniambie pia ulikuwa huli kuku. Na bakhresa pia?
Mweee
Mimi hata msalato sijawahi fika .

Huko kote sikujuiaisee.

Sijui hata nini kilinisibu na wakati vijihela vilikuwa havinipiti pembeni .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom