Ukila mkeo wa mwenzio sharti na wako aliwe...

Sio kweli! Hayo ni mawazo mgando mkubwa, kweli aliyeturoga katuweza!!

Msemo kama huu unatofautiana nini na wa "aliye juu mngoje chini"?

Wadau wataendelea kukutafunia mkeo na hawataacha kwa vitisho kama hivi. Hii misemo ipo tu, hata kina mama wanayo kwenye kanga zao!!

Cha muhimu mkeo akimegwa, na wewe tafuta mnyonge wako utafune mke wake. La sivyi utabaki ku promulgate misemo isiyo na mbele wala nyuma!!

Ho ho ho! hold a minute. Unataka kuhalalisha watu kuvunja ndoa zao? Ina maana kuwa hata ufisadi unahalalisha kwa maana hiyo. Kwamba ukiona hata mkuu wa kaya anaibia WaTZ na wewe waibie walio chini yako. Tabia ya kutembea na wake za watu sio nzuri. Ni afadhali hata kutembea na msichana ambaye hajaolewa lakini sio mke wa mtu. Ingawaje wote ni uzinzi ambao ni kinyume na maadili ya Dini zetu.
 
Hili ni onyo tu wa wale wanaokaa na kufikira wake za watu ukweli halisi ni kwamba kama unapenda kula mke wa mwenzako basi ujue ipo siku ataliwa wa kwako hata ukioa na miaka 50.....kama uamini uliza walijaribu
Pole ndugu yangu washakutafunia ...................... ila kwaba hii kitu balaa, kuna jamaa alifumwa anakwiba, I will never forget ile siku.Kumbe mwenye mali alishaambiwa kwamba kuna mwizi maana alioa mke ambay sio kabila lake sasa mama akawa anagawa kwa mtu wa kabila lake. Basi ile wameingia chumbani ndani ya dk 5 mlango teke, njemba imeingia mvunguni. Kitanda kimbinuliwa ndemba imekutwa hata suruali haijafunga.
Na ukishashikwa nguvu inakuishia kabisa maana jamaa hata hakujitetea alipigwa kama paka mwizi. Na uswaz napo mashahidi walishajaa mlangoni na madirishani ................. yaana ilikuwa aibu
 
wanawake tupo na mimi nasema hivi, nikijua tu mume wangu kamega kwa mama fulani nakaa kimya,unajua bwana wanawake tunajua sana kutunza siri ndugu zangu kama hamjui mnasema wanawake wambea wambea ila si kweli we can stay na kitu rohoni na mume asijue, sooo malipizi nafanya sana ila sheria moja hatuhitaji mume ajue tunajua kulinda things not to falling apart in the family, huwa tunamegwa kwa technology ya juu mno mnoo:yield:
 
wanawake tunamegwa tu hasa ukijua mumeo kamega wa mtu, sheria yetu moja ulinde sana mume asijue, na ndo hapo wanaume hudhani wao tu ndo wanawafanyia wake za watu na kuhisi wake zoa hawafanyi kumbe lololo mwanamke ana high love technology mno , wala msijione vidume kumega wa wenzenu kumbe na wako kashamegwa mpaka basi:yield:
 
Back
Top Bottom