Ukikutana uso kwa uso na Kikwete mtaani utafanya nini?

Father of All

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
6,376
6,709
Utamlinda
Utamfanyia kweli
Utampa salamu zake
Utamlalamikia
Utakimbia
Je kwanini rais analindwa kana kwamba ni mharifu?
Wanangu huenda uzee,
Msifanyie masihara swali langu
Maana najiandaa kuwa rais
 
mimi ntarudi nyumbani coz ntajua siku yangu ishaharibika.
 
Nitamuambia akubali kuwa nchi imemshinda kea hiyo aikabidhi kwa uongozi wa mpito, halafu tufanye uchaguzi ulio huru na haki mwezi August 2012
 
Ntajua hapo nini chakufanya na pia itategemea na mood ya siku hiyo na pia kama hamna mtu ananiona.
 
kikwete huyuhuyu au just ndugu yake. Kama ni huyuhuyu huwezi mkuta bila mlinzi/walinzi KAMWE!
 
Ntamweleza udhaifu wake ki-uongozi na pia hana huruma kwa wananchi ndio sababu anasafiri nje ya nchi kila wakati,nitamweleza pia safari za nje siku moja atajulishwa abakie nje
 
Huyu nikikutana naye nitampeleka nijuako huku mtaani kwetu!

Atashangaa na roho yake!
 
Mi naomba niombee ruhusa kwanza kwa mod ili wasinipige BAN nikwambie ntakacho mfanya.
 
he he mitaa ya bongo humkuti labda ya huko nje anapoenda kuzurura kama machinga
 
Rungu la kichwa!, Rungu la kiuno!, Rungu la shingo!, Rungu la ikulu ndogo, mwanu wa mwiziiiiiiiiiiiii!, mwiziiiiiiii!
 
umenikumbusha siku moja kikwete alienda tabora sasa alivyofika kule akafikia ikulu ndogo sijui alipatwa na wazimu gani bwana akavaa track suit yake na kofia akaanza kufanya jogging kwa wanaojua mji wa tabora alikimbia kwanzia pale ikulu ndogo, cheyo, taboya boys na national
wapambe wake wakawa wako nyuma wanamfuata na kaunda suti zao coz walikuwa hawajui anapoenda...
Watu walikuwa wakikutana nae njiani wanajiuliza huyu jamaa kafanana na jk kwa sabbu siku hiyo jamaa alikuwa ni yeye na walinzi wake tu wachache wanakatisha mitaani wanakimbia
 
mimi nikikutana nae nitamuambia kuwa nauza ndege aina ya mbayuwayu coz nasikia anawapenda sana hao ndege
 
Utamlinda
Utamfanyia kweli
Utampa salamu zake
Utamlalamikia
Utakimbia
Je kwanini rais analindwa kana kwamba ni mharifu?
Wanangu huenda uzee,
Msifanyie masihara swali langu
Maana najiandaa kuwa rais

yanayo nipasa kumfanyia kiongozi nitamfanyia! heshima nitampa kwakuwa mie wajibu wangu ni kumpa heshima!
nakumwambia matatizo yetu katika maeneo ninayoishi kama ni Mbuguni, Kijenge, Usariva au ungalimited ndicho nitakachomwambia lakini siyo kumlaumu kama vile yeye ndiye aliyesababisha hata kama nikijuwa kuwa baadhi ya vitu vimeenda ovyo kwa sababu yake yeye.

huo ndio ukweli kuhusu mimi nikikutana nae jk mtaani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom