Ukikutana na Mungu utamuuliza swali gani?

Jocasta

JF-Expert Member
Aug 28, 2014
474
589
Bandugu JF,

Hebu assume kuwa leo hii umekutana na Mungu, ungependa umuulize swali gani?
 
Naona sasa hivi haya mambo ya kuhusu Mungu yamepamba moto humu japo Huyu mleta anamada anamzungumzie mungu wake na sio Mungu wa wote
 
Naona sasa hivi haya mambo ya kuhusu Mungu yamepamba moto humu japo Huyu mleta anamada anamzungumzie mungu wake na sio Mungu wa wote
Na mbaya zaidi ni mada za dhihaka kwa Muumba. Wengi waanzishao mada hizi wana uelewa tosha juu ya uwepo wa Mungu na jinsi gani anapaswa aheshimiwe lakini ili kufurahisha baraza wanajitoa ufahamu.
 
Na mbaya zaidi ni mada za dhihaka kwa Muumba. Wengi waanzishao mada hizi wana uelewa tosha juu ya uwepo wa Mungu na jinsi gani anapaswa aheshimiwe lakini ili kufurahisha baraza wanajitoa ufahamu.
ni #mungu siyo MUNGU,be care
 
Aibu
Kwanza tumejiandaaje na kufa?
Huwezi kutana na Mungu bila kufa.

Hata sasa hivi unaweza kumuuliza au kumuomba na akakujibu sio mchoyo
. Hebu jaribu

Kwani ulimwoomba akulete duniani?
Au ulimwambia akufanye uwe MEn au WoMen

Tuwe makini
 
Hilo nakuunga mkono. Mie nitamuuliza Mungu kwanini unawaumba watu kama Magufuli wenye roho mbaya, wakatili, mafisadi, waongo, wakandamizaji wa haki za binadamu wenzao, wanaokudhihaki na kujibaraguza mbele za watu kwamba wanakuabudu kumbe ni dhihaka tu!?
Atakunasa kibao kwa kumpaka tope mtetezi wa wanyonge!
 
Hujitambui wewe! Mtetezi wa wanyonge hata mkewe aligoma kumfanyia kampeni kwa kujua fika kwamba hana sifa ya kuongoza nchi? Watetezi wa wanyonge hawakwapui nyumba za Serikali na kuhonga, hawalidanganyi Bunge, hawakingii kifua mafisadi akina Lugumi. Kabla ya kuwatetea wanyonge alitakiwa amheshimu mkewe kwanza. Tafakari kwa kina.

Atakunasa kibao kwa kumpaka tope mtetezi wa wanyonge!
 
Nikikutana na 'mungu' nitajua siyo Mungu wa kweli kwa sababu huwezi kumwona Mungu Wa Kweli Kabla hujafa na tena uwe ukiwa huna dhambi,l
 
Wote mlio na hofu juu ya kuhoji masuala ya muumba ni ukosefu wa elimu ndani yenu, Mungu hakukosea jambo lolote ktk uumbaji wake kwa lolote linalojitokeza ktk uso wa dunia, mipango yake ilitimia tangu na tangu na haina makosa, yote myaonayo ni utimilifu wake wa uumbaji, someni muelewe 'life cycling' mjue ukuu wa Mungu!
 
labda sikai kanda ya ziwa! kulivyo na mawe hivi namnyuka nayo alafu ndo anakula maswali huku mawe yakimshambulia..!
 
Back
Top Bottom