Ukikuta texts zake anatukana na alivyo ni tofauti. Ila ukija tena kutukuta utatushangaa...Sijui inakuaje hii

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,321
11,410
Nina demu mmoja ni kama tumerogezeana. Nlianza kudate naye miaka mingi sana. Ana sura na umbo zuri.chura hips na kiuno kidogo.tatizo lake ni kuwa kichwani si mzuri sana ingawa ana diploma toka TANZANIA INSTITUTE OF ACCOUNT.

ni mswahili anaweza akaja kwenye game akiwa njiani mkatibuana akageuza akarudisha K home.ni kisirani sana. Anakuja kusema ooohh umechukua lodge mbali bajaji imenizungusha mi nmechoka.akikaa tena anapiga nakuja.

Sasa huwa tunaenda hivyo hivyo tunatibuana kinyama.atanitukana... unajifanya mzungu wakati we mbantu tu kama mimi....eti msomi kama ni hivyo kato....ne na wasomi wenzio.futa namba yangu.

Nami namwambia we tatizo lako mswahili.achana nami.tunaweza kaa hata miezi miwili.siku nipo tu naona texts yake. " Upo wapi nina nyege nataka tukato****ne"

Nami nikiona hiyo text basi nafanya utaratibu tunaenda tunagegedana...halafu atanisema weeee.... Nami namjibu kijeuri tunaagana au sometime tena tunatibuana kila mtu anashika hamsini zake.


Juz juz from nowhere kantumia texts ... " Nina nyege" nikamwambia "so what" akanambia "tafuta loom tukatom***ne" nikaona nimkere nikamwambia "kama ni loom tafuta wewe mimi naweza pata room tu" baada ya masaa mawili akanipigia simu niende lodge flan kweli nikamkuta tukakaamuana weeee.... Kila.mtu akashika hmsini zake.hatujatafutana tena mpaka leo.

Nasema huyu dada tumerogezeana au ni ujinga gani huu? Hata anajua nina date mtu mwingine ila anapotaka game anadai kibabe kama vile ni haki yake.

Sijui kama kuna mtu amewahi kuwa na uhusiano wa kipuuzi kama huu.
 
Mwaka 2019 nataka madem kama hao..
Sio unakuwa na dem wa kishua anataka mapenzi ya kikorea na kihindi hata papuchi hatoi.
Au natoa mara moja kwa miezi..

Nataka manzi ambaye hana mambo ya kikorea yeye ni papuchi tu then kila mtu nashika 50 zake

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli asee chali angu hata mm natamani nipate manzii ya dizaini hii asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna rafiki yangu yupo kwenye relationship ya aina hiyo. Walianza tangu tupo O level mpaka sasa hivi mshikaji ana familia na watoto watatu lakini hawajaachana.

Ni takribani miaka kumi na ushehe wapo wapo jamaa akitaka game anamuita anakuja wakitoka Hapo lazima wazinguane.

Anakuja ananionesha SMS za yule Dada ila bahati mbaya binti mpaka Leo hajaolewa na hana wivu kwa rafiki Yangu yeye anachitaji ni gegedo tu basi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom