Ukikubali kuoa mwanamke kwa ajili ya makalio kubali ndoa yako kutikisika kama yanavyotikisika makalio

Kwa dunia ya Leo ukiona dem msupa mwenye msambwanda uliokaa poa, hakuna maskini anamiliki hio kitu. Lazima uwe sponsor, na tena unaongea huna experience nazani mana madem wa kizazi hiki wanajitambuaa! MPE gari uone kama haulizii kadi.
Life is but a journey and more to be seen on the way..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom