Ukikataliwa na mwanamke zama hizi jitafakari sana.

Haya maisha haya!

Hivi tumefikaje huku? Sina uzoefu kipindi cha nyuma, ila inaaminika ilikuwa ngumu sana kuimbisha 'mtoto' hadi akuelewe.

Siku hizi ni chap tu, beki hazikabi!

Sidhani kama nimekuwa hendisamu sana, na wala hii sio kwangu niseme nina bahati. Nyie ni mashahidi wa ukweli.

Nipo kwenye Bus naelekea Mwanza kutokea Dar, kuna jimama hapa nimekaa nalo. Tayari limefika bei, na ni mke wa mtu hivyo roho inaniuma.

Kama ni mkeo yupo safarini leo jiandae kisaikolojia, usilale mapema au rather ukae kwa kutulia.

Tuombeane tufike salama.

Namjua huyo maza hats mwaka Jana nilikutana nae ila alipoenda kuoga nikapekua pochi nimekuta kadi na dawa zake. Ila endelea mkulungwa ,kuteseka kwa zamu
 
Daah nilikuwa nimpokee wife Leo hapo nyegezi,ila kanambia bus limeharbikia tinde kwa hivyo atalala aje kesho asubuhi.
Mkuu nahisi uko nae maana maelezo yako yananitia hofu maana wife ni jimama kwelikweli kama maelezo yako.
Shemejiyo huyo mkuu mwans jf mwenzio.

Haya maisha haya!

Hivi tumefikaje huku? Sina uzoefu kipindi cha nyuma, ila inaaminika ilikuwa ngumu sana kuimbisha 'mtoto' hadi akuelewe.

Siku hizi ni chap tu, beki hazikabi!

Sidhani kama nimekuwa hendisamu sana, na wala hii sio kwangu niseme nina bahati. Nyie ni mashahidi wa ukweli.

Nipo kwenye Bus naelekea Mwanza kutokea Dar, kuna jimama hapa nimekaa nalo. Tayari limefika bei, na ni mke wa mtu hivyo roho inaniuma.

Kama ni mkeo yupo safarini leo jiandae kisaikolojia, usilale mapema au rather ukae kwa kutulia.

Tuombeane tufike salama.
Mpaka ukitika huko mwanza genye zoteee zimeyeyuka maana akilala huyo jimama liki amka ilo li sura litakapo kubadilikia utajua umeketi na mdogo wake nsiyuka . Usisahau kutupa kamrejesho.
 
Una bahati tu weye lakini vibuti vipo pale pale Au labda Kwangu tu mimi?Mh acha nijitathimini upya japo naamini Wenye misimamo bado wapo.
 
Back
Top Bottom