Nashkuru mkuuMiezi 6 mfululizo
Poua japo majibu yanatofautiana sijuh hapa lipi sahihiKwa mujibu wa sheria ya ndoa Tanzania ibara 160 (i); ni miaka miwili.
Kwa mujibu wa sheria ya ndoa Tanzania ibara 160 (i); ni miaka miwili.
Sawa, kama haiw ndoa ikitokea mmekaa nae huo mda mkaja mfano mkatofautiana si yanaanza mambo ya kugawana mali? Au sijaelewa?Na kiuhalisia haiwi ndoa halali ila itadhaniwa (will be presumed) kuwa ndoa.
Siyo kweli.Ukimfanya tendo la ndoa tayari ni mkeo huyo...
Yeah! Mtagawana kama mmetafuta pamoja. Kama mna watoto pia mtashirikiana kuwalea, n.k.Sawa, kama haiw ndoa ikitokea mmekaa nae huo mda mkaja mfano mkatofautiana si yanaanza mambo ya kugawana mali? Au sijaelewa?
Kwa mujibu wa kifungu cha 160(1) cha Sheria ya Ndoa, Sura nambari 29 kama ilivyofanyiwa mapitio mwaka 2019, inasema kwamba ukikaa na mwanamke ndani ya miaka miwili au zaidi kutakuwa na dhanio la ndoa( presumption of marriage).Niulize wanasheria ukikaa na mwanamke muda gani ndo sheria inatambua kama ni mke wako?
Neno Ibara kwa maana ya Article linatumika unaponukuu sehemu ya Katiba au Sheria za Kimataifa kwa maana ya Charter. Tumia neno Kifungu/section unaponukuu Sheria za Bunge/ ActsKwa mujibu wa sheria ya ndoa Tanzania ibara 160 (i); ni miaka miwili.