Ukikaa miaka 5 bila kwenda chuo, kweli huwezi kupata mkopo HELSB?

Sheehan

Member
Apr 19, 2022
71
57
Habari wana ndugu wa JF,
Naomba kuuliza kwa mwenye uelewa wa hii issue maana kuna story nazisikia ety ukiwa umemaliza form six miaka 5 nyuma then hukuenda chuo but this year unataka uende ety ni kweli huwezi kupata mkopo HELSB...
 
Back
Top Bottom