Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,098
Bwana Yesu asifiwe watu wa Mungu!!!
Poleni na pia hongereni kwa majukumu.
Nimewai kutoa unabii hapa ambao Mungu alisema na Mchungaji wangu juu ya ""Ujio wa Yesu Kristo km Mfalme"" ktk Taifa la Tanzania.
Na mambo mawili makubwa ambayo Mungu anafanya Tanzania:
1: Mungu amekusudia kuibariki nchi hii kiuchumi mkubwa kiasi kwamba mataifa mengi yatakuja kuomba msaada hapa.
2; Pia Neema ya Mungu itakua kubwa sana Tanzania na watu watakaoamua kumtafuta Mungu wa kweli,,,ataonekana kwao. Na hayo mataifa yatakayokuja kuomba msaada wa kiuchumi, watakutana na Mungu hapa,,,,na wengi wataponywa hapa.
NB: Ndipo watakaporudi makwao,,hawatasema tuu kwamba Tanzania imebarikiwa,,,bali watasema na Mungu yupo Tanzania. Hivyo watakapokuja kutaka msaada wa kiuchumi watakutana na Mungu pia.
MABADILIKO
Taifa hili kwa muda mrefu limekua likitawaliwa na ufalme wa giza,,na ndo maana hali ilikua vile ilivyo,,na km unavyojua ufalme wa giza ndo ulizaa rushwa,,ufisadi,,utawala usio na maadili nk.
Kwaiyo sasahv ufalme wa Mungu ndo unachukua nafasi ktk ulimwengu wa roho,,,na ufalme wa giza unalazishwa kuachia anga la Tanzania, hivyo kuna msuguano unaendelea ktk anga/ulimwengu wa kiroho kwny Taifa hili ambapo ndio matokeo hayo yanayoonekana sasa ktk ulimwengu wa kimwili.
Kwaiyo ndg zangu Watanzania,,,,tunahtaj kuwa makini sana na sio kuchukuliwa na siasa sana,,,,,bali tutafute kujua Mungu ana mpango gani. Hivyo ni vema sasa kuchukua hatua ya kumtafuta na kumrudia Mungu.
Maana ukiishi kwa kusikia ya watu au kuangalia mazingira yanayokuzunguka,,na usitafute kujua mapenzi ya Mungu,,,,,Hakika utashindwa na kukata tamaa.
Hivyo basi ktk utawala wa Kifalme,,,neno la mfalme huwa ndo sheria na watu husikiliza sauti moja tuu.
Sasa simaanishi Rais ni mtumishi wa Mungu mzuri,,,,,ila ile nguvu ya kifalme ktk ulimwengu wa kiroho ndio inayosukuma mambo yaende yanavyoenda,,na hayo ni maombi ya Watumishi wa Mungu wanaojua huo mpango wa Mungu ktk Taifa hili.
Maana Mungu anasema na Watumishi wake na SIO na serikali,,,,,kisha hao Watumishi sasa wanapoomba,,,,ndipo nguvu inawaingia viongozi wa serikali ili kutimiza kusudi la Mungu.
ASANTENI SANA NA MUNGU IBARIKI TANZANIA.
KAMA UNA SWALI UNAHITAJI UFAFANUZI ZAIDI NAWAKARIBISHA. Amen.