Ukijua una Ugonjwa wa kurithishana, Je, utazaa?

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Kama ukijua kwamba wewe na mke wako wote mna Ugonjwa ambao ni wa kurithi kama vile sickle- cell, au ukichaa, Je bado mtaleta kiumbe hapa Duniani ijapokuwa mnafahamu kwamba hakitaishi muda mrefu kablA ya kufariki tena kwa mateso makubwa?
 
Sickle cell,
Wapo baadhi wanao survive and inasemekana wakipita miaka 18 alive basi wanakuwa na maisha as others.
Lakini mama na baba wanaweza kuwa na sickle cell au mmoja aKawa na sickle cell lakini mtoto akazaliwa ni career (sijui ndio inaandikwa hivyo) yaani akawa ame carry tu viashiria vya sickle cell na asiwe totally sickle cell victim. as albinism, wanazaa watoto weusi n ngozi zingine wanakuwa wamecarry vile vinasaba vya albinism na pengine generation ya 3 au ya 4 ndio atapatikana mwenye albinism.
 
Sickle cell,
Wapo baadhi wanao survive and inasemekana wakipita miama 18 alive basi wanakuwa n maisha as others.
Lakini mama na baba wanaweza kuwa na sickle cell au mmoj aKawa na sickle cell lakini mtoto akazaliwa ni career (sijui ndio inaandikwa hivyo) yaani akawa ame carry tu viashiria vya sickle cell na asiwe totally sickle cell victim. as albinism, wanazaa watoto weusi n ngozi zingine wanakuwa wamecarry vile vinasaba vya albinism na pengine generation ya 3 au ya 4 ndio atapatikana mwenye albinism.
Jana tumepata habari amefariki Prodigy, rapper maarufu wa Mobb Deep.

Alikuwa na Sickle Cell. Amefarikina miaka 42.

Si michache hiyo.

How rap revolutionary Prodigy, dead at 42, overcame the pain of sickle cell anemia
 
Sickle cell,
Wapo baadhi wanao survive and inasemekana wakipita miama 18 alive basi wanakuwa n maisha as others.
Lakini mama na baba wanaweza kuwa na sickle cell au mmoj aKawa na sickle cell lakini mtoto akazaliwa ni career (sijui ndio inaandikwa hivyo) yaani akawa ame carry tu viashiria vya sickle cell na asiwe totally sickle cell victim. as albinism, wanazaa watoto weusi n ngozi zingine wanakuwa wamecarry vile vinasaba vya albinism na pengine generation ya 3 au ya 4 ndio atapatikana mwenye albinism.

Nimetolea sickle cell kama mfano tu, lkn nilichomaanisha ni kwamba kama ukujua kwamba una ugonjwa wa kurithi kama na ambao mtoto wako ataishi kwa mateso hapa Duniani maisha yake yote , Je bado utazaa?
 
Mmh. Haya, mi nilikumbuka biology form 4 huko.
All is well

BTW ndio watu bado wanazaa, mbona tunaona kina keisha wanazaa na watoto wao wako kawaida..
 
Haina shida hivyohivyo tu nitampa mimba, huwezi kujua ataishi miaka mingapi
 
Kama ukijua kwamba wewe na mke wako wote mna Ugonjwa ambao ni wa kurithi kama vile sickle- cell, au ukichaa, Je bado mtaleta kiumbe hapa Duniani ijapokuwa mnafahamu kwamba hakitaishi muda mrefu kablA ya kufariki tena kwa mateso makubwa?

Ni nguvu kumeza, mimi siwezi kutesa mtoto kihivyo....nitajipigia punyeto tu kwa muda mchache nitakaokuwa nao hapa duniani.
 
Kuna huu ugonjwa wa ngozi unaitwa vitiligo unatisha sana. Zeru zeru pia inahitaji moyo kuwa na mpenzi zeru zeru au mwenye vitiligo. Magonjwa ya kurithi mengi yana athari mbaya lakini wakati mwingine mzazi mmoja kama hana basi inaweza kupunguza athari ya ugonjwa kwa kiwango kikubwa sana.
1631542690793.png

Back
Top Bottom