Ukijua umewekwa moyoni, muheshimu sana aliyekuweka

kakamgeni

JF-Expert Member
Feb 1, 2018
241
201
Hakuna mahali salama kama moyoni, anayekuweka moyoni amekuthamini sana, kutokana na moyo kuwa nyumba iliyojengwa na MUUMBA.

Ila ukiiweka nafsini au kwenye incha ya ulimi ni rahisi kuwa mhanga wa anguko ambalo hutaweza kusimama tena.

Moyo ni eneo salama na ukijua umewekwa moyoni basi muheshimu sana aliyekuweka moyoni wala usimuumizee.

UKIPENDWA PENDEKA
 
Siyo kila unapopendwa panakufaaa wengine wanakupenda Kwa maslai uliyonayo wengine Kwa ugumu wa maisha waliyonayo wanaona cha kukupa wewe ni upendo wa maneno na vitendo ulishajiuliza mondi wanawake wanaompapatikia wanampendea nini zaidi ya umaarufu na pesa. Penda unapoona kunakufaa wewe siyo maneno yamtu yakufanye ujiingize mkenge
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom