Wa darasa la saba twasema uwianoahahahaaa, tuliopata A za maths tunaita cross multiplication
Kwenye biasharakatika scenario gani hii linear ikatumika. Au mashambani?
Sasa mbona necta ukapata mswakiNilijua maths ni muhimu kwenye Alogarithms na 1,0. Yaani maths ni muhimu sana