Ukijiungana na TTCL tegemea kero hizi

Management haijafikiria kupokea maoni ya wadau, kwani suala la ugumu wa kutuma sms na customer care kutopokea simu za wadau ni kero Sana na kwa wasio wavumilivu wanatupa line ingawa mnafanya vizuri katika utoaji wa muda wa maongezi (voice) bila zuluma tofauti na wale wengine!.
 
Halafu ukimcheki mkurugenzi wao Kindamba ndio walewale tu hupati msaada wowote
 
Hiyo numba 4 ni kweli kabisa, nimesha-report hiyo na hadi leo sijarudishiwa vocha yangu.
 
Kwa wateja wa hivi, kweli customer care lazima awe na Hekima..., Sio kwamba nawatetea hawa jamaa, ila kuna vichwa ukikutana navyo utagundua kwamba aliyesema customer is always right hakuwa right....
Mkuu serious wanakera kwanini watuambie uongo kama tatizo haliwezekani si bora kuambiwa ukweli sasa wenyewe wanakuambia tatizo lako linashughulikiwa kisha kimya.Ukipiga simu anapokea mwingine sio wa mwanzo unataka tatizo lako naambiwa linashughulikiwa yaani mlolongo ndio huohuo wiki nzima unapiga tu simu hupati msaada ni sound tu.Hawa watu ni wasenge sana
 
Wasenge kinoma
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom