Ukijiita "MNYONGE" utakuwa mnyonge mpaka kufa kwako,maneno yanaumba. Soma hapa uzinduke leo

👏👏👏Hata kama una uwezo mdogo jione unaweza,ww kidume...uniite mnyonge kwani mi kilema siwez kujitetea?
Nafikiri hapa tunachanganya. Unyonge na kukata tamaa ni vitu viwili tofauti. Wakati kukata tamaa ni kosa au dhambi kubwa lakini unyonge siku zote upo. Nadhani hao wanadai kuwa unyonge haupo na mtu asijiite mnyonge ni wale ambao hawajakumbana na changa moto. Nitatoa mfano mmoja tena wa kweli. Kuna binti mmoja alimaliza kidato cha sita na kushinda vizuri na maksi nzuri tu. Yeye alichukuwa PCB. Hakuna somo aliloshinda chini C, nafikiri alipata A moja, B moja na C moja. Yeye ni mtoto yatima. Kuna wakati aliwahi kupata matatizo shule ya serkali akaenda private school ya kanisa kumalizia kidato cha nne. Kidato cha tano na sita alisoma shule ya serkali. Alichaguliwa kwenda SAUT St Augustine University), lakini alinyimwa mkopo. Huyu alinyimwa mkopo kwa sababu ni mnyonge, na hana wa kumtetea. Mtu kama huyu ana haki ya kujiita mnyonge.
 
Katika neno ambalo nikisikia had najisikia kutapika Ni neno mnyonge ,bahat mbaya vilaza walio wengi wakiitwa wanyonge wanapiga na makofi ,hili neno alipenda Sana kulitumia marehemu ,yaan wangekuwa wanasoma hata kamusi na kuelewa maana halisi ya neno mnyonge wangejiona takataka sana
 
Kwa hiyo ukijiita chuma utakua chuma?
Ukijiita rais utaingia ikulu?
Read between the lines jombaa....tofautisha kujiita mnyonge na kujiita chuma.
1. Mnyonge kwa tafsri isyo rasmi ni hali ya kutojiami, kutojitambua, uwezo mdogo wa kushindwa kukabiliana na mazingira yanayokuzunguka etc.
2. Chuma ni metal, kitu kigumu ambacho upatikanaji wake unafanyika baada ya uchakatuaji wa kisayansi ndani ya ardhi.
Kwa muktadha huo nachelea kusema upeo wako wa kufikiri umeupa kikomo au unafanya kwa makusudi kwa sababu ya mihemko yako!
Mleta mada anachomaanisha na anatamani hisia zake zimfikie mhusika mkuu kusudi abatilishe/atengue kauli ya JPM ya kuwaita watanzania "WANYONGE"na badala yake awaite "CHUMA" kusudi kila Mtanzania/watoto wetu waweze kuamini kuwa hata wao wakiwa na malengo kuna siku moja wataweza kuingia "IKULU".
 
Heb chochote ulipo nipe namba ya lipa kwa...nilipe huku mkuu👏👏vijana kama nyie mnajitambua sana
 
Aliwapa.jambijambi hasa yaani has a mahali popote watu wenye nguvu kuna wanyonge hata America wapo...Yale mabarabara mliokua mnatumwagia tope na Range sport zenu na vx na kina Murano zenu sisi wanyonge tulizifanyia umachinga tukaunga unga na vikoba tukajenga vibanda miaka 10mbele tusingeitwa wanyonge tungekua kwenye fremuuuu ukwl ndio Mzee alitupa kiburi sio siri alitupa kujiamini police akikuona anajua huyu MTT wa baba Jesca nimuache asije akanilipua siku baba Jesca akija hapa sokoni kuwa nilimchikulia hela....Pumzika kwa amani kipenzi chetu.

Magufuli alipachika watu dhana mbaya sana...eti sisi wanyonge!! Hizi Nyerere angekuwa mnyonge nchi ingepata uhuru kweli? Unyonge una mwisho...huwez kuwa mnyonge kila siku mwishowe utakuwa mjinga sasa
 
Utakubali kuwa mnyonge tu! Mf umepakana na tajiri, ukipata dharura ni lazima uwe mnyonge kwake ili akukimbize na gari yake hosipitali.

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Unyonge hapo unahusikaje...umepewa msaada wa gari leo ina mana huna tamaa ya maendeleo? Kwa akili yako jirani yako ndio anastahili kuwa tajiri na kumiliki gari tu? Wewe hapana!!!🤔
 
Aliwapa.jambijambi hasa yaani has a mahali popote watu wenye nguvu kuna wanyonge hata America wapo...Yale mabarabara mliokua mnatumwagia tope na Range sport zenu na vx na kina Murano zenu sisi wanyonge tulizifanyia umachinga tukaunga unga na vikoba tukajenga vibanda miaka 10mbele tusingeitwa wanyonge tungekua kwenye fremuuuu ukwl ndio Mzee alitupa kiburi sio siri alitupa kujiamini police akikuona anajua huyu MTT wa baba Jesca nimuache asije akanilipua siku baba Jesca akija hapa sokoni kuwa nilimchikulia hela....Pumzika kwa amani kipenzi chetu.
Unaenda kuwa yatima sasa kama hukujipanga
 
Kwa hiyo ukijiita chuma utakua chuma?
Ukijiita rais utaingia ikulu?
Ukijiita.chuma utapata kutu uta wear and tear.

Ukijita jiwe unakumbana na erosion Hadi uishe

Ukijiita mwamba utapasuliwa hata kwa baruti .

Ukijita.kisiki Cha mpigo mchwa watakumaliza hata Kama shoka limeshindwa .

Kila mbabe na mbabe wake.
 
Wewe kama ni mnyonge ni mnyonge tu hata ukijiita simba ukweli uko pale pale. Wanyonge,unyonge upo ndio maana hilo neno likawepo.
 
Uchagani ukijiita MNYONGE utatumwa mpaka uzee wako...na kila mtu anataka kujitoa kwenye unyonge.

Ili uonekane una akili ni jinsi unavyopqmbana na changamoto za maisha. Ukitesekeka sana akili itakuja kichwani tu.

Nani asiye penda kuendesha gari zuri? Kuwa na nyumba nzuri?
Kama mnyonge huko uchagani utatumwa tu hata ujiite Simba.
 
Back
Top Bottom