Ukiitumia vyema IQ yako, nani kati ya hawa anapaswa kupuuzwa?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,073
107,570
Je, Mpuuzi na wa Kupuuzwa ni Watu 'wanaoshadadia' kwa Kuzusha Mitandaoni kuwa Rais Mtarajiwa wa JamiiForums Nation GENTAMYCINE Kafariki bila ya Wao kuwa na Taarifa Kamili?

Je, Mpuuzi na wa Kupuuzwa ni Mtoto Mpendwa wa GENTAMYCINE Rizikimbili kwa Kuchelewa kutoa Ufafanuzi wa Kuzushiwa Kufariki kwa Baba yake Mimi Rais ajaye wa Tanzania wakati Familia yake ikijua Kuchelewa kufanya hivyo Kumeshawaanisha Wananchi wapendwa wa JamiiForums Nation?

Je, Mpuuzi na wa Kupuuzwa ni Mimi GENTAMYCINE Rais Mtarajiwa wa JamiiForums Nation ambaye najijua kabisa kuwa nimeshazushiwa Kufariki halafu badala ya Mimi Kuwaumbua 'Wazushi' na kuwaonyesha kuwa nipo 'Fiti' kwa Kujitokeza hadharani Watu wanione naamua ' Kujificha ' na Kumtuma tu Mwanangu Kipenzi Rizikimbili aje Kukanusha?

Nayasubiri kwa hamu zote 'Great Thinkers' wa JamiiForums mniambie kati ya hao Watu Watatu tu tajwa hapo juu ni nani ni 'Mpuuzi' na anastahili 'Kupuuzwa' kabisa?
 
Mzee wa kiti cha mwanzo unaniangusha..

Mzee wa awamu ya 4 J.k almaarufu john komba inasemekana ndio hivyo tena.. Sasa mwanae riziki mafungu saba toa 6 haani rizi moko, amekuja kukanusha.. Sasa rapper maarufu, rapper bora kupata kutokea ulimwengu wa bolingo..
GENTAMYCINE

Ndio kaja na maswali yake matatu.
........bwege wewe, eti riziki mafungu saba toa sita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee wa kiti cha mwanzo unaniangusha..

Mzee wa awamu ya 4 J.k almaarufu john komba inasemekana ndio hivyo tena.. Sasa mwanae riziki mafungu saba toa 6 haani rizi moko, amekuja kukanusha.. Sasa rapper maarufu, rapper bora kupata kutokea ulimwengu wa bolingo..
GENTAMYCINE

Ndio kaja na maswali yake matatu.
Mpumbavu huyu genta kanizungusha kanifanya mpaka nisome reply yako sasa tunaenda sawa mkuu

Popoma umetisha
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom