Ukiitizama picha hii ya mh mbowe unawaza nini? Siasa mmmmh | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukiitizama picha hii ya mh mbowe unawaza nini? Siasa mmmmh

Discussion in 'Jamii Photos' started by The only, Dec 14, 2011.

 1. The only

  The only JF-Expert Member

  #1
  Dec 14, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 1,437
  Likes Received: 957
  Trophy Points: 280
  [​IMG] MBOWE 1.JPG
  source : Michuzi blog

  Hapa ni Machame ,Hai akichangisha watu wajenge msikiti ujulikanao kama Rambo.
   

  Attached Files:

 2. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #2
  Dec 14, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Siasa ni wizi mtupu. Si hasa bana we acha tu, sijui hapo alikuwa shehe.
   
 3. Shagiguku

  Shagiguku JF-Expert Member

  #3
  Dec 14, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 400
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  tangiapo hapo mbowe anafanya wizi mtupu...!!!
   
 4. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #4
  Dec 14, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hahaaa we kweli kilaza, ina maana uwezo wa kufikiri ndio umefikia mwisho? angalia hapo kwenye red
   
 5. P

  PARAGEcTOBORWA Member

  #5
  Dec 14, 2011
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwa hili la 2015 mbona tutashuhudia michango mpaka kwenye unyago jando n.k mbali kwenye makanisa na misikiti.
   
 6. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #6
  Dec 14, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  acheni majungu nyie, inamana kuvaa kanzu na kibarakashehe ni kosa? Mbona mrema anavaa hamumsemi?
   
 7. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #7
  Dec 14, 2011
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kweli misikiti na makanisa imekuwa mitaji ya kisiasa kwa wanasiasa.MUNGU tunusuru siasa isimeze dini.
   
 8. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #8
  Dec 14, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Kusaka umaarufu si kazi ndogo....
   
 9. mwakaboko

  mwakaboko JF-Expert Member

  #9
  Dec 14, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 1,841
  Likes Received: 257
  Trophy Points: 180
  safari za kuelekea 2015, tutaona mengi zaidi ya haya tusubiri
   
 10. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #10
  Dec 14, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Kama mi ni kilaza, wewe ni kilaza squared. Maana ninavyofahamu waTZ wote ni vilaza, maana tumefumbia macho uporaji wa mali zetu za asili. Kwa hiyo wewe usiyejielewa kama ni kilaza unakuwa na ukilaza wa aina mbili.
  1. Ukilaza wa kila mTZ.
  2. Ukilaza wa kutokutambua kuwa nawe ni kilaza.
  Therefore you are kilaza squared, hence proved.
   
 11. S

  Song'ito JF-Expert Member

  #11
  Dec 14, 2011
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  jamani waislamu na shura ya maimamu mbona hamtoi tamko kuhusu hiyo kanzu ya mbowe? nilitarajia hili kwa kulidhalilisha vazi hilo
   
 12. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #12
  Dec 14, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hayo ni mavazi tu, hakuna jipya hapo.
   
 13. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #13
  Dec 14, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  uchaguzi mzuri wa mavazi,nazani dizaina amebobea.
   
 14. YEYE

  YEYE JF-Expert Member

  #14
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  politics = polifix
   
 15. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #15
  Dec 15, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  anacheza ngoma ya siasa au ni mtu wa kujichanganya,hakuna zaidi
   
 16. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #16
  Dec 15, 2011
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hata kambarage alifanya mbinu hizo alipopata wazifa waisilamu walikiona kilichomfanya kuku kunywa maji shingo juu hadi hii leo waisilamu wamekuwa mashakani ,kambarage alikuwa anavaa mpaka taribusshi na kanzu ili kuwafanyia hadaa waisilamu na kwa imani za wasilamu waliamini kuwa alikuwa mtu mwema kwao leo wanajionea wenyewe .
   
 17. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #17
  Dec 15, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Kuvaa kanzu si lazima uwe shekhe...ni vazi la heshima sana tu kwa wanaojiheshimu
   
 18. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #18
  Dec 15, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kanzu na "kibandiko" si vazi la Waislamu pekee, ni vazi la asili ya Mashariki ya kati ambako linavaliwa na watu wote kule hata wasio na dini.
   
 19. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #19
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  hata Nyerere alikuwa anavaa barghashia!
   
 20. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #20
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  ukienda nchi ya chongo nawe finya lako jicho!
   
Loading...