Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Dogo, kazi iendelee.Watanzania wameamua kujenga nchi yao
Ni imani yangu hivi sasa yakiitishwa maandamano ya amani kupinga hizo tozo, maandamano hayo yanaweza kuwa makubwa na yakaweka historia katika hii nchi.
Iwapo nguvu zitatumika kuzuia maandamano hayo, si ajabu hata askari walafanya kazi yao chini ya kiwango kwani nao ni wahanga wa hizi kodi ambazo zitatunganisha watanzania wote bila kujali dini wala itikadi zetu za kisiasa.
Maandamano haya yatafana zaidi iwapo yataongozwa na wanaharakati au wananchi wenyewe kupitia taasisi zao za kijamii.
Ombeni kwanza kibali cha maandamano ingawa sijui kama matapewa.