Ukiishi kwa upanga utakufa kwa Upanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukiishi kwa upanga utakufa kwa Upanga

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bajabiri, Jun 15, 2011.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Wiki hii tumesikia,kuona na hata kusoma habari juu ya mbunge mmoja akiwatuhumu wabunge wenzie kwa kujihusisha na RUSHWA.........aliwataja wazizwazi bila kumung'unya maneno.......
  Lakini sote tunajua kua wabunge wengi hasa wa chama tawala wameingia kwa MLUNGULA,hata makamba alisema wale walioshindwa kwenye kura za maoni walitoa pesa kidogo.......
  Hivyo basi kwakua waliingia rushwa(yaani kutoa rushwa) si jambo la ajabu kuomba rushwa.....ndio wanataka kufidia gharama zao.......
  KUNA MSANII AMBAE SASA NI MBUNGE ALIWAHI KUSEMA
  ''UKIISHI KWA UPANGA UTAKUFA KWA UPANGA,HERI NIFE MAISHA HAYA,DUNIA SIO MBAYA WALIMWENGU NDIO WABAYA........"
  KAMA WATU WALIINGIA KIZUSHI PALE BUNGENI LAZIMA WATAKUA NA UTENDAJI WA KIZUSHI
   
 2. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #2
  Jun 16, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  In Medina, after Muhammad gained strength and Christians refused to follow Muhammad's Allah. Allah then tells him to

  "Fight those who believe not in God nor the last day...Nor acknowledge the religion of truth (Islam), (even if they are) of the people of the Book, until they pay Jizya (tribute tax) with willing submission, and feel themselves subdued". Surah 9:29
   
 3. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #3
  Jun 16, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  wewe mchokozi lakini!!! unataka kusema koran inawaagiza waumini wake kupiga vita? inawezekana ni kweli, vinginevyo nini sababu ya nigeria watu wachome makanisa na kuchinja wakiristo? au misri makanisa yanachomwa wakiristo wana bakwa na wengine kuuwawa, iraq wakirsto karibu wote wamekimbia, pakistan waziri mmoja alijaribu kuwatetea wakiristo wasiuawe na kubakwa kinyama aliishia kuuwawa yeye mwenyewe, afighanistan ukihisiwa tu kuwa unamilki biblia nyumbani mwako kichwa chako ni halali yao. Hakika jina la YESU linawatesa sana hawa ndugu zetu, linawafanya wapagawe na kuua bila kufikiria wanachokifanya. Nakumbuka wakati akiwepo hapa duniani huko Judea na Samaria majini yalikuwa yanahamaki na kulia kwa hofu, lakini yeye hakuyatenda ubaya bali alikuwa tu anayafukuza kutoka kwa watu. Nadhani sasa yananafasi ya kulipiza visasi kwa wafuasi wake.
   
 4. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #4
  Jun 16, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Mukulu, sio mie, ni allah huyo aliye shusha ayat. Mie nimenukuu tu.
   
 5. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #5
  Jun 16, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Ila ndugu zetu wamekaa kisharishari sana utamjua mtu kwa vitabu anavyosoma nawatu anaoishi nao,kwann wanapenda kumwaga damu za wenzenu sana!
   
Loading...