lumy
Member
- Aug 14, 2015
- 21
- 8
Mwanafunzi aliyezoea kuigilizia majibu kwa wenzie huonekana nae ni miongoni mwa wanafunzi bora zaid darasani ila ikatokea siku akapewa mtihani aufanye peke ake lazima atafeli tuu na anetegemea msaada hasirani huishia kusubiria tu na kuwa wa mwisho km hatoongeza juhudi ya kuutafuta msaada huo poleni watanzania tunaosubiria misaada na kuishi kwa mazoea ni hayo tu