Ukihitaji dereva au fundi wa magari ninapatikana hapa

msema_kweli

Senior Member
Nov 6, 2013
178
101
Mimi ni kijana Mtanzania ni dereva na fundi mechanical, nina uzoefu wa kutosha kwenye udereva na ufundi nimesoma chuo cha NIT udereva na chuo cha ufundi VETA

Niko tayari kufanya kazi popote Tanzania madaraja niliyonayo ni A, A1, B, C, C1, C2, C3, D na E

Mawasiliano yangu ni 0784 619897

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbona mkuu nafasi zipo nyingi jaribu kuangalia humu kuna nafasi nyingi za udereva nimeona mahakama wametoa nafasi
 
Back
Top Bottom