Ukigundua rafiki yako anamtongoza mpenzi wako utafanyaje?

Tumia simu ya demu wako upande mmoja mwambie atume hela ulipie guest na aje guest fulani kugegedana! lipia kabisa chumba aingie moja kwa moja chumba number 7. akija anakukuta mzee umetuna, akitulia muelezee; ''nilijua kitambo sana habari zako'' nakwambia anaweza kufa ghfla!

au mueleze mke wake kinachoendelea! asikae mbali siku anakuja guest hapo muite mke wake pia aje. mke wake amuulize sababu za kuja pale ni nini hapo?

Ntajaribu
 
kuna watu wana roho mbayaaa........................... wamekosa utu kabisa
ni bora sasa rafiki yako amtongoze demu wako
ikitokea demu wako anamtongoza mshikaji wako sijui utafanyaje

Never happen
 
Mimi kuna jamaa yanguu ameonge utumboo kwa manzi yanguu yanii manzii haniaminii saizi hata kidogo. Kuna siku nilileta mtu tukalala bahati nzurii nili mtoa asubuhii ghafla nashangaa saa 1 manzi anagongaa anakuja na kuanza kuangalia mashukaa na tauloo aiseee kumbe jamaa alimwambia kuwa nina manzii na jamaa niko naee namchora tu.

kuna wana wengine wanatabia za kike asee
 
Huyo rafiki yako hajiheshimu na hata wewe hakuheshimu, hapo hauna rafiki mkuu.
 
Back
Top Bottom