Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,864
- 155,821
Umepata msichana miezi mitatu nyuma, mmependana naye sana na ana kila sifa unayoitaka. Kuanzia umpate mambo yako yananyooka sana, unapata hela katika mazingira ya kutatanisha sana. Mara ukute milioni 2 kwenye mfuko wako wa koti wakati hukuziweka, siku nyingine ukakuta milioni 70 kabatini kwako.
Baada ya mauzauza hayo unaamua kumjulisha mpenzi wako. Anakusikiliza kwa makini kisha anacheka kicheko cha dharau sana na anapotea kwenye upeo wako wa macho (anayeyuka).
Je ndugu yangu utachukua hatua ipi?