Ukigundua kuwa ni jini utafanyeje?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,427
154,272
Umepata msichana miezi mitatu nyuma, mmependana naye sana na ana kila sifa unayoitaka. Kuanzia umpate mambo yako yananyooka sana, unapata hela katika mazingira ya kutatanisha sana. Mara ukute milioni 2 kwenye mfuko wako wa koti wakati hukuziweka, siku nyingine ukakuta milioni 70 kabatini kwako.
Baada ya mauzauza hayo unaamua kumjulisha mpenzi wako. Anakusikiliza kwa makini kisha anacheka kicheko cha dharau sana na anapotea kwenye upeo wako wa macho (anayeyuka).
Je ndugu yangu utachukua hatua ipi?

sasa kama kayeyuka si ndio raha unalula mwenyewe milion zako 72, majini ni watamu sana na ni wazuri sana wanajua stail zate uzipendazo anazozijua na usizo zijua usiombe ukutane nae hutamuacha kamwe!

sasa kama kayeyuka si ndio raha unalula mwenyewe milion zako 72, majini ni watamu sana na ni wazuri sana wanajua stail zate uzipendazo anazozijua na usizo zijua usiombe ukutane nae hutamuacha kamwe!

<br /
Aah! Umeshakutana nao nini?

Kimbia kwa wakuu wa dini yako ukaombewe koz hawatoi hizo pesa bure, ndio yale baada ya muda unambiwa mama yako then baba yako wanakufa tu, kumbe ni sadaka ya hizo pesa za bure

heheeh ntadumisha upendo na nitafurahia sana! hapo itakuwa hakuna mzinga wa vocha wala hakuna kufeki yale mambo yetu. Halaf unamshtua tu sasa hivi geuka shosti wa JF anageuka, enhee geuka Rose1980 anageuka, geuka Dena Amsi anageuka. Unajishtukizia ushalamba JF nzima mpaka mods wenye jinsia ya ke.

Ushanipandisha mzuka, Mkuu naomba contact za hilo jini.

Mmmh we kweli unaroho ya kichaga ila unanyota yakiarabu, ngoja upate hzo contact tuone manjonjo yako mkuu.

pesa unapata ukiwa kivulini taabu ya nni maadamu haudhuriki nafanya mambo ya maana

heheeh ntadumisha upendo na nitafurahia sana! hapo itakuwa hakuna mzinga wa vocha wala hakuna kufeki yale mambo yetu. Halaf unamshtua tu sasa hivi geuka shosti wa JF anageuka, enhee geuka Rose1980 anageuka, geuka Dena Amsi anageuka. Unajishtukizia ushalamba JF nzima mpaka mods wenye jinsia ya ke.

Ushanipandisha mzuka, Mkuu naomba contact za hilo jini.

Kweli wewe ni gileti sinka

Ukimbie mpaka wapi?
Utajisumbua bure kumkimbia, kwan akitaka atakupata tu.
Kama mtamu we mega tu,
Isitoshe ndio kama hivyo shida zako ndogondogo na kubwa zinatatulika!!

Hapo inabidi usali na kuwashirikisha viongozi wako wa dini ili uepukane na hilo balaa na pia wanaume kwa wanawake tuepukane na kuingia kwenye mausiano na mtu ambae hata hujafuatilia background yake kwani itatuepusha na mambo kama haya

Kweli kabisa,hawa marai wanafikiri majini ni ishu,hayasiti kukutoa roho,omba sana usi fall in luv with a jini.

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom