ukifuata haya utakuwa na mahusiano yenye afya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ukifuata haya utakuwa na mahusiano yenye afya

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by aiai654, Oct 19, 2012.

 1. a

  aiai654 JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,861
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  [FONT=&quot]Njia 3 za kufanya kuwa mahusiano mazuri zaidi[/FONT]
  [FONT=&quot]Mimi sio expati wa mahusiano. Ila nimegundua kuwa japo kila mahusiano ni ya kipekee na yanatofautiana ya kati ya mtu na mtu kuna vitu vitatu ambavyo mahusiano yoyote yakivifuata vitaboresha uhusiano wa mtu na mwenzie. Nakualika kujua hivi vitu vitatu tu: Kuwa mkweli. Kuwa tayari kukubaliana kutokubaliana . Kuwa tayari kukimbia. [/FONT]

  [FONT=&quot]Kuwa mkweli[/FONT]
  [FONT=&quot]
  Kutokuwa mkweli katika mahusiano ni sumu. Ni ngumu sana kukumbuka uongo wote uliowahi sema na ni nani ulimwambia. Kudanyanywa kunaumiza, Kuna faida nyingi ukiwa mkweli kwa patna wako. Kuna uhuru unaokuwa ndani yake na ulinzi wa kujiamaini kuwa unaambiwa ukweli daima.[/FONT]
  [FONT=&quot]
  Kuwa tayari kukubali kutokubaliana[/FONT]
  [FONT=&quot]
  Inapokuwa ulikuwa singo kwa muda, una maono fulani kichwani kwako juu ya mambo fulani kuwa ndivyo unavyotaka yawe. Mara anakuja huyu mtu ambaye umempenda lakini ana mawazo tofauti na yako kwa labda kila unachotaka. Unajikuta inabidi ulegeze msimamo wako kiasi. Na unaona ni sawa tu. Lakini vinakuja vile vitu ambavyo unajisikia kabisa lazma viwe hivi na sio vile, unatakiwa kuwa na uhakika kuwa patna wako amekubaliana na wewe. Kwa hiyo ukiweza kulegeza msimamo kidogo na kuweka wazi kwa patna wako mnaweza kuja na solution ambayo itakuwa bora zaidi na wote mkaifurahia.[/FONT]
  [FONT=&quot]
  Kuwa tayari kukimbia[/FONT]
  [FONT=&quot]
  Fuata moyo wako. Unajua wakati mambo hayaendi sawa au jambo fulani patna wako alilofanya halileti heshima kwako. Ujue nini, unatakiwa ujipe raha mwenyewe. Kama unahisi kuwa hufurahii mahusiano yako ni sawa kukimbia hata kama ni kwa muda ili utulize kichwa uamue ni nini hasa unataka. Usijali watu watasema nini: chukua maisha yako mikononi mwako. Saa nyingine kujiondoa kwenye uhusiano ni kitu chema zaidi unachoweza kufanya kwako na kwa huyo mtu mwingine.[/FONT]
  [FONT=&quot]Karibu kwa madukuduku..[/FONT]
   
 2. HUNIJUI

  HUNIJUI JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 10, 2012
  Messages: 1,441
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Ok, ngoja nitafakari
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,468
  Trophy Points: 280
  mimi nimeona hiyo ya kukimbia tu lol

  if was only that simple lol
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Oct 19, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  The phenomenon of love, once again!
   
 5. a

  aiai654 JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,861
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  yeah for sure
   
Loading...