Ukifanya Mapenzi siku ya pili baada ya hedhi unaweza kupata Mimba?

Bay of pigs

Senior Member
Jan 5, 2014
158
196
Habari,

Naomba kuuliza kwamba; Je, msichana anapofanya mapenzi siku ya pili baada ya kutoka kwenye mzunguko wa hedhi, anaweza kupata ujauzito?
 
Hauwezi kupata mimba,mimba unaipata siku ya kumi na moja,ya kumi na mbili mpaka ya kumi ni nne toka ulipopata siku zako
 
Hivi vitu wakati mwingine havifati utaratibu wa kitaalamu kama tulivyozoea japo wataalamu wanayo majibu mazuri pia kwa Sasa wako kwenye uchaguzi ngoja warudi watakupa sababu ila unaweza kupata na mimba usitoe!
 
Habari,
Naomba kuuliza kwamba... je msichana anapofanya mapenzi siku ya pili baada ya kutoka kwenye mzunguko Wa hedhi anaweza kupata ujauzito?

Ukifanya mapenzi huwezi pata mimba ila ukikojolewa ndani humo ndiyo unaweza pata mimba
BACK TO TOPIC.
Siku ya pili baada ya hedhi huwezi kupata mimba japo kuna wengine mizunguko yao ipo hovyo huwa wanapata.

Jaribu kumwona mtaalam zaid.
 
Ukifanya mapenzi huwezi pata mimba ila ukikojolewa ndani humo ndiyo unaweza pata mimba.
BACK TO TOPIC.
Siku ya pili baada ya hedhi huwezi kupata mimba japo kuna wengine mizunguko yao ipo hovyo huwa wanapata.
Jaribu kumwona mtaalam zaid..
NANUKUU:Ukikojolewa Ndani humo humo

Msalimie Sumbai
 
Huwezi kupata mimba siku hiyo. Menstrual cycle kwa mwanamke mwenye mzunguko wa siku 28 siku unazoweza kupata mimba ni siku ya 9 mpaka 17 tangu uanze mzunguko.
 
Ukifanya mapenzi huwezi pata mimba.... ila ukikojolewa ndani humo ndiyo unaweza pata mimba...
BACK TO TOPIC.
Siku ya pili baada ya hedhi huwezi kupata mimba japo kuna wengine mizunguko yao ipo hovyo huwa wanapata....
Jaribu kumwona mtaalam zaid..

Hili ndilo jibu mtoa mada.Wengine ni wasanii tu watakudanganya.nilitaka nijibu na ningejibu hivi kama mdau Wa afya
 
Huwezi pata momba sababu panakuwa hakuna yai/ ovulation. Kwa sababu yai la kike linakuwa bovu ivo virutibisho vinapotea.
 
Kutegema na mzunguko wake wa hedhi mwanamke anaweza kupata mimba hata siku ya hedhi akifanya ngono. Uliza kwa kina wataalam utapata darasa . Ila usikariri formula za wenye 28 japo wao wengi kuna wenye cycle fupi na wengine wana hormonal imbalance (vichocheo haviwiani) hivyo ni ngumu kukisia lini anaweza kushika mimba na lini hawezi.
 
Jaman mim nilikunywa dawa za clomid then nkakutna na Mume Wang siku yang ya hatari mzungukk Wang Wa siku 24 25 sas nimepitiliza cku zangu na nimepima mimba hakuna kunaweza kuwa na tatizo au zile dawa zimevuruga mzunguko wangu?
 
Kutegema na mzunguko wake wa hedhi mwanamke anaweza kupata mimba hata siku ya hedhi akifanya ngono. Uliza kwa kina wataalam utapata darasa . Ila usikariri formula za wenye 28 japo wao wengi kuna wenye cycle fupi na wengine wana hormonal imbalance (vichocheo haviwiani) hivyo ni ngumu kukisia lini anaweza kushika mimba na lini hawezi.

Jaman mim nilikunywa dawa za clomid then nkakutna na Mume Wang siku yang ya hatari mzungukk Wang Wa siku 24 25 sas nimepitiliza cku zangu na nimepima mimba hakuna kunaweza kuwa na tatizo au zile dawa zimevuruga mzunguko wangu?
 
Bay of pigs,

Angalia hiyo picha nafikiri itakufundisha pia na wengne kwa uzoefu wangu wapo wanawake watu wazima lakini hawajui habari ya Kalenda.
1446215560424.jpg
 
Kwa ufafanuz zaid ni kwamba kwa mwanamke ambaye siku za mzunguko wake hazibaliki yaani ni 28 Basi maelezo ni kama ifuatavyo:

Mfano siku ya kuanza bleed ilikuwa tarehe 31 mwezi Wa kumi basi siku ya hatari zaidi itakuwa tarehe 14 mwez wa kumi na moja ambapo yai linakuwa tayari lipo katika mirija ya folopia, Hivyo basi kujua SKU ya hatary ya kushika mimba jumlisha siku 14 toka siku ya kwanza kupata bleed, yaani bleed imeanza 31/11/2015 basi anza kuhesabu siku ya kwanza hiyo 31.

Siku ya pili itakuwa tarehe 1, ya tatu tareh 2, siku ya nne tareh 3, siku ya tano tarehe 4...5,..6,..7,..8,..9,..10,..11,..12,..13,..14,..15,..16...17,.. inase hiyo tareh 14 ndo ina asilimia 100% ya kupata mimba lakin hata tareh 12 na tarehe 13 unaweza kupata mimba kwani mbegu za kiume zinaweza kuishi kwa mda Wa masaa 24 had 48 , kwahiyo yai likutana na mbegu ambazo bado zipo hai fertilization inatoea then mimba, na hata tareh 15 na tareh 16 pia mimba inaweza kutungwa ni kwamba yai likifika folopian tube linaweza kukaa hadi masaa 48 kwaiyo kama mbegu za kiume zikutana yai ndani ya hayo masaa basi mimba huweza kutungwa.

Hitimisho:


Kutokana na maelezo hapo juu basi siku za hatary ni siku ya 12 had siku ya 16, hivyobasi kuanzia 12,..13,..14,..15,..16,.. Hzo ndo siku hatary za kushika mimba ila sku hatari zaidi ni ya 14.

NOTE: Hiyo ni kwa wale wenye mzunguko wa siku 28 tu, Kutokana na kuongezeka kwa tatzo la mimba kwa watoto Wa secondary hiyo ndo njia rahisi kumuelekeza mtoto, kwa maana wengi huwa hawaelewi jinsi ya kuhesaabu siku izo ,...na hata baadhi ya akina mama ni hilo tatizo.

Kwa wale ambao SKU zao huwa znabadilika unaweza PM kwa maelezo zaid hii Huduma inatolewa bure kabisa

Na kwa wanawake ambao husikia maumivu siku ya hedhi njia rahisi ya kupunguza au kuondoa tatzo kabisa ni kujitahid kufanya mazoezi ya kuruka kamba(boyii) kila join au asubuh na kukimbia atleast mita 1000 na muhimu zaid ni kunywa maji ya kutosha hata Lita 3 kwa siku utaona mabadiliko. Usipoona mabadiliko niPM, ni bure.

Ogopa sana kutumia madawa mengi kutoka kwa madaktari wa mtaani, na dawa za asili kwani unaweza kuharibu kizazi.
 
Back
Top Bottom