Ukienda NSSF kupata huduma lazima umkumbuke Hayati Magufuli

Softie like suzie!! Naona unapiga mkwara jabali!! Thats real Chige
Kuna viumbe wanakera sana... yaani wakianza kuimba mapambio yao kwa JPM, wanataka sote tuwaunge mkono kuimba mapambio hata kama hoja zinazotolewa ni za kijinga! Wakimbiwa ukweli, "oh, mna chuki"
 
Kaka acha matusi kama wewe mwanaume tutafutane alafu uone kama utapata nafasi hata ya kukohoa.
Acha kwanza ujinga wa kusema tunamchukia Jiwe eti kisa tu tunamkosoa!!

Nimekuuliza, wapi kwenye post yangu ya kwanza nilikutukana? Na narudia, ni UJINGA uliokubuhu kuamini kum-criticize Jiwe ni kumchukia!

Aidha, ni UJINGA uliokubuhu kusema Gwajima alikuwa anahamasisha Wasukuma wamlinde Jiwe, halafu eti unadai huo ni ukabila huku ukisahau Mkabila ni huyo Mwehu wenu aliyekuwa anawataka Wasukuma wampiganie Jiwe!

Kwani Jiwe alikuwa Rais wa Wasukuma hadi awatake Wasukuma wampiganie?

Kwamba eti nikutafute, nitafute wewe unayelia lia!!!!
 
Ebu soma mada alafu angalia ulichoandika.

Nipe codes nikutafute, trust me nitakufikia.
Chunga sana kijana matusi ni ishara ya kukosa malezi ya wazazi wote wawili au kudevelop tabia za jinsia ya pili.
Acha kulia lia wewe... UNABOA!!! Hakuna mzazi wako hapa; kama huziwezi pressure za JF, rudi Facebook ukaungane na waimba mapambio wenzako!!

Halafu nikisema wewe ni mpumbavu na mjinga unaanza kulia lia!! Sasa habari za wazazi zinakujaje hapa? Kuna mahali nimetaja wazazi wako?

VERY STUPID
 
Kabla ya kutawala huyo unayemkumbuka,Leo ungekuwa unatuatilia kupewa % ya kile ulichokichangia hapo NSSF.

Lakini leo unafuatilia ulipwe 33% ya mshahara wako wa mwisho kila mwezi zoezi litakalo dumu kwa miezi 6 tu.Lakini aliyekusababishia hali hiyo ndo unamkumbuka kwa hayo mazuri.Kweli uchawi upo.
Mku hapa unamaanisha mtu aliyestaafu au redundancy
 
Heheheheyaaaaaa mmeanza...ohhh dikitteta ohhhh hajui kiingilishi anatupelekesha mwizi kiko wapi? Ndio umuhimu wa mshumaa huonekana gizani mshumaa ulizima.
 
Na mm nilitaka ni comment icho kitu ...
Binafsi nimekuwa naenda nssf ubungo plaza ...since 2020 kiukweli wana usumbufu wa kiwango cha daraja la kwanza ...hupewi majibu yanayo eleweka wana kwambia tu file lipo kwa boss
Sasa huyo boss anakaa na file la mteja mwezi mzima ?
Since 2020... Hukupaaza sauti kwa mwendazake??
 
Ukienda NSSF tawi la kinondoni ubungo plaza utatamani Magufuli afufuke.

Hakuna anaejali.

Unasikilizwa kwa mbinde.

Meneja hapatikani.

Ukienda posta utachoambulia ni majibu ya hovyo utaambiwa sasa sisi tufanyaje!

Hii ni experience yangu nafuatilia hela yangu ya 33%.

Hali ni mbaya sana watumishi hawaogopi lolote now.

Sisi wanyonge ndio tunaoumia na hakuna kitu tutafanya tutaishia kulia bila kuwa na wakutusikliza.

Tutakukumbuka JPM ulipambana sana wanyonge tusikilizwe kwenye ofisi za umma.
Pole, meli inazama hivi hivi huku hatuna la kufanya...
 
Ukienda NSSF tawi la kinondoni ubungo plaza utatamani Magufuli afufuke.

Hakuna anaejali.

Unasikilizwa kwa mbinde.

Meneja hapatikani.

Ukienda posta utachoambulia ni majibu ya hovyo utaambiwa sasa sisi tufanyaje!

Hii ni experience yangu nafuatilia hela yangu ya 33%.

Hali ni mbaya sana watumishi hawaogopi lolote now.

Sisi wanyonge ndio tunaoumia na hakuna kitu tutafanya tutaishia kulia bila kuwa na wakutusikliza.

Tutakukumbuka JPM ulipambana sana wanyonge tusikilizwe kwenye ofisi za umma.
Hakuna cha alipambana bila yeye ungepewa hela yako yote matokeo yake unapewa 33% kwa miezi 6 baada ya wao kubadili sheria sasa hicho kilichobaki kusubiri uzeeni fikiria wewe hii serikali imewachoma kwa hiyo sheria
 
Kabla ya kutawala huyo unayemkumbuka,Leo ungekuwa unatuatilia kupewa % ya kile ulichokichangia hapo NSSF.

Lakini leo unafuatilia ulipwe 33% ya mshahara wako wa mwisho kila mwezi zoezi litakalo dumu kwa miezi 6 tu.Lakini aliyekusababishia hali hiyo ndo unamkumbuka kwa hayo mazuri.Kweli uchawi upo.
Mkuu niambie huyo sijui akili ameshikilia yeye ndio kafanya mjinga alafu anasifia upuuzi
 
Back
Top Bottom