Ukienda kusoma Asia, Ulaya au Amerika Mwafrika unamegewa lecture kwa kipimo

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,646
35,980
Niliwahi kufanya kazi kwa Mkufunzi mmoja wa UDSM, yeye hakuwa mwajiri wangu ifahamike. Yule Dr.jina mfukoni siku moja alianzisha mada sasa nikaamua kumsifia then nikampa challenge kidogo.

Akafunguka na kuniambia kuwa ukisoma nchi za nje hususani mataifa ya Asia and so lazima uwe makini maana wale walimu wa vyuo vikuu ni kama watu waliopewa maelekezo, kuna vitu vidogo ambavyo ni muhimu sana watakuficha (watakutenga) bila wewe kujua.

Hiki kitu naona kama kina ukweli kabisa maana PhD holders na maprofesa tunao wengi lakini mpaka leo kuna miradi ambayo inasimamiwa na wachina wenye diploma na certificate za engineering huku wao huishia kuwa wahandisi washauri tu.

Hawa ma PhD ambao wanajitapa wamesoma Russia, China, US ndio huwafundisha vijana kwenye vyuo vyetu.

Kuna elimu imejificha (tumefichwa). Kuhusu kulegea nati za kichwani kwa baadhi ya Wasomi wakitanzania waliosoma China na Urusi sijamuuliza, ninalifanyia utafiti kwanza.
 
So watakwambia wiki ijayo hatuji chuo so utakua upo home huku wenzako wanapiga pindi?

Au usiku muda umelala wao wanarudi chuo kufundishwa elimu ya siri? Au kurudi is too much so they just do it via skype?

Au wanaongea kwa codes?

This is weird.

Wabongo (sijui waAfrika) tuna shida ya kukariri masomo, tunashindwa kuelewa zaidi ya tunachofundishwa. Ndiyo maana wanafunzi 4 waliosoma kozi 1 wakafundishwa na mwalimu 1 katika chuo kimoja utakuta ukiwauliza swali juu ya hiyo kozi wote wana jibu la aina moja na hata mwalimu naye jibu analo hilo tu.

Akikutana na mwanafunzi akampa jibu jipya huyo mwanafunzi atafeli huku anajiona. Nikiwa chuo module moja ilikua ni kuangalia namna ya kusolve tatizo la ndoa zikichuja mapema (sex rut) mimi nikasema anal sex inasaidia kurudisha spark kati ya wanandoa.

Yule mwalimu alininunia. Na akanikata maksi in advance kabla hatujafanya hata zoezi moja.

Siyo ajabu kubaki washauri as hata research na research proposal watu hufanyiwa na watu wa stationery. Yule mtu wa stationery anachofanya ni research ya Mzumbe anaileta UDSM ya UDSM anaipeleka UDOM ya UDOM itaenda CBE.

Sasa kichekesho ni kwamba hata huyo supervisor wa research na yeye hajawahi kufanya research.
 
Nimefanya kazi na Wachina kwenye mradi maarufu wa ujenzi hapa Dsm. Huwezi amini kuna Wachina jobless waliletwa kiujanjaujanja na wenzao, hawajui kitu kwenye masuala ya ujenzi lakini ndani ya miezi miwili (yes, namaanisha miwili!) walikuwa wanaelekeza mafundi wa kibongo waliosoma diploma miaka mitatu na wana uzoefu kazini kwa miaka zaidi ya mitano.

Hao Wachina wakuja walikuwa wanachapa kazi sijawahi ona, wana nidhamu balaa, wakorofi kwa wabongo wapuuzi na cha ajabu wakikosea wanatandikwa makofi na mabosi wao Wachina.

Wabongo sasa, KILA IDARA wanaiba haijalishi ni wapi. Wanaiba simenti, oil, mafuta, maji, mabarafu, zege, nondo, nyaya, mashine, nyavu, blocks, mbao yani kila kitu. Hata walinzi wenyewe wanaiba.

Wachina walikuwa wanafanya kazi utadhani mradi ni wa nchi yao, wabongo unasikia "hawa si wenzetu, tukipata chochote tuchukue" wakati mradi ni wao.

Unajua mnaenda kupumzika lisaa, wakati wa kurudi unakuta boss kashafika na wafanyakazi ndo wanakuja!

Wabongo sio wanasiasa tu wabovu, kila sekta ni tiamaji.
 
Kwa Asia, siwezi kuzungumzia ila kwa ulaya na marekani siyo kweli. Nchi hizo zinapenda vichwa bila kujali vimetokea wapi lakini kama vinaumuhimu kwenye uchumi na/au teknologia wanakuteka kabisa. Hawa jamaa hupenda kuwekeza vichwa kwenye mambo ya research and development.

Kwenye vyuo vingi huwa na mawakala wa aina fulani [wa multinational corps] ambao kazi yao kubwa ni ku-spot vichwa. Kuna waafrika na waesia wengi tu wamebaki nchi za magharibi baada ya kumaliza masomo kutokana na hilo.
 
Sio kweli kama wanabaniwa, mazingira ndio yanafanya wataalamu wetu washindwe kuperform kwenye area nyingi, tofauti na wenzetu wana miundombinu mingi wezeshi inayoendana na taaluma wanazosomea kwa( mfano nimeona bongo watu wanasoma na computer majumbani hawajawahi kua nazo wamezijulia chuo tofauti na mtu alikyekua tokea mototo anacheza na computer nyumbani ipo shuleni zipo).

Kuna watu wamesomea nuclear technology huko nje lakini tokea warudi nyumbani wanaona theory tuu hakuna practical. Na pia wenzetu technology wapo mbele kuliko sisi na tayari wanapractice sisis bado tupo kwenye vitabu kama information tu.

Na kumbuka kuna wasomi wengi amabao wamebakia kwenye hizo nchi baada ya masomo yao wameajiriwa hukohuko. Sasa kama wangekua wamebaniwa kimkakati wangeaminiwa vipi?

Bado sijagusia swala la wabongo kusoma kutokana na chance na sio passion, passion ya ndio inayafanya unakua mzuri kwa jambo fulani hila bongo inatokea chance ya kusoma nje watu wanakimbilia tuu sababu ni nje academic personal gain lakini sio professional gain wala hana passion, jiulize waliosoma petroleum mpka siku tunaanza ugunduzi watakua na hali gani kitaaluma?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So watakwambia wiki ijayo hatuji chuo so utakua upo home huku wenzako wanapiga pindi?

Au usiku muda umelala wao wanarudi chuo kufundishwa elimu ya siri? Au kurudi is too much so they just do it via skype?

Au wanaongea kwa codes?

This is weird.

Wabongo (sijui waAfrika) tuna shida ya kukariri masomo, tunashindwa kuelewa zaidi ya tunachofundishwa. Ndiyo maana wanafunzi 4 waliosoma kozi 1 wakafundishwa na mwalimu 1 katika chuo kimoja utakuta ukiwauliza swali juu ya hiyo kozi wote wana jibu la aina moja na hata mwalimu naye jibu analo hilo tu.

Akikutana na mwanafunzi akampa jibu jipya huyo mwanafunzi atafeli huku anajiona. Nikiwa chuo module moja ilikua ni kuangalia namna ya kusolve tatizo la ndoa zikichuja mapema (sex rut) mimi nikasema anal sex inasaidia kurudisha spark kati ya wanandoa.

Yule mwalimu alininunia. Na akanikata maksi in advance kabla hatujafanya hata zoezi moja.

Siyo ajabu kubaki washauri as hata research na research proposal watu hufanyiwa na watu wa stationery. Yule mtu wa stationery anachofanya ni research ya Mzumbe anaileta UDSM ya UDSM anaipeleka UDOM ya UDOM itaenda CBE.

Sasa kichekesho ni kwamba hata huyo supervisor wa research na yeye hajawahi kufanya research.
N kweli ss huwa tumezoe jibu moja tu, nilipokuwa chuo prof bila kujibu alichoandika kwenye pamphlet lake kufaulu sahau yaan ukakariri hata nukta hyo inapelekea tunakuwa na uwezo mdogo wa kupambanua mambo. Dawa ya covid tutaisubili kwa wengine tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi kufanya kazi kwa Mkufunzi mmoja wa UDSM, yeye hakuwa mwajiri wangu ifahamike. Yule Dr.jina mfukoni siku moja alianzisha mada sasa nikaamua kumsifia then nikampa challenge kidogo.

Akafunguka na kuniambia kuwa ukisoma nchi za nje hususani mataifa ya Asia and so lazima uwe makini maana wale walimu wa vyuo vikuu ni kama watu waliopewa maelekezo, kuna vitu vidogo ambavyo ni muhimu sana watakuficha (watakutenga) bila wewe kujua.

Hiki kitu naona kama kina ukweli kabisa maana PhD holders na maprofesa tunao wengi lakini mpaka leo kuna miradi ambayo inasimamiwa na wachina wenye diploma na certificate za engineering huku wao huishia kuwa wahandisi washauri tu.

Hawa ma PhD ambao wanajitapa wamesoma Russia, China, US ndio huwafundisha vijana kwenye vyuo vyetu.

Kuna elimu imejificha (tumefichwa). Kuhusu kulegea nati za kichwani kwa baadhi ya Wasomi wakitanzania waliosoma China na Urusi sijamuuliza, ninalifanyia utafiti kwanza.
Watanzania hatupendi kazi na wanaopenda kazi hawajapata nafasi ya kujiendeleza vizuri (walioishia darasa la 7,form 4 na Form 6) pia najua watu wengi tu niliwaacha nyuma kwa kufeli shule lakini siyo kwamba hawana akili bali hawana kipaji cha kukariri tu.
 
So watakwambia wiki ijayo hatuji chuo so utakua upo home huku wenzako wanapiga pindi?

Au usiku muda umelala wao wanarudi chuo kufundishwa elimu ya siri? Au kurudi is too much so they just do it via skype?

Au wanaongea kwa codes?

This is weird.

Wabongo (sijui waAfrika) tuna shida ya kukariri masomo, tunashindwa kuelewa zaidi ya tunachofundishwa. Ndiyo maana wanafunzi 4 waliosoma kozi 1 wakafundishwa na mwalimu 1 katika chuo kimoja utakuta ukiwauliza swali juu ya hiyo kozi wote wana jibu la aina moja na hata mwalimu naye jibu analo hilo tu.

Akikutana na mwanafunzi akampa jibu jipya huyo mwanafunzi atafeli huku anajiona. Nikiwa chuo module moja ilikua ni kuangalia namna ya kusolve tatizo la ndoa zikichuja mapema (sex rut) mimi nikasema anal sex inasaidia kurudisha spark kati ya wanandoa.

Yule mwalimu alininunia. Na akanikata maksi in advance kabla hatujafanya hata zoezi moja.

Siyo ajabu kubaki washauri as hata research na research proposal watu hufanyiwa na watu wa stationery. Yule mtu wa stationery anachofanya ni research ya Mzumbe anaileta UDSM ya UDSM anaipeleka UDOM ya UDOM itaenda CBE.

Sasa kichekesho ni kwamba hata huyo supervisor wa research na yeye hajawahi kufanya research.
Kwa mtindo huu viwanda vitawezekana?
 
Hili swala haliwezi kuwa la kweli

Je huwa wanategwa wakati wa masomo au?
 
Mimi naona hapa suala kubwa ni nidhamu na umakini ndio kitu tunashindwa katika nyanja zote. Sababu leo hii anakuja mchina tok kwao na low education level lakin baada ya muda mfupi ana master karibu kila kitu kweny mradi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Brain ikiondoka Afrika, hiyo ni Brain-Drain.
Brain ikibaki Afrika bila kutumiwa vyema, hiyo ni Brain-in-Drain.
~M. L. (Prof. Eng. Dr.)
 
Mwenyewe nimebaki namshangaa mleta mada maana na mimi degree ya pili nilisoma huko kwa mabeberu ila sijawahi kuona hili analolizungumza mleta mada na wala haliingii kichwani unless uwe na reasoning capacity ya kusua sua
So watakwambia wiki ijayo hatuji chuo so utakua upo home huku wenzako wanapiga pindi?

Au usiku muda umelala wao wanarudi chuo kufundishwa elimu ya siri? Au kurudi is too much so they just do it via skype?

Au wanaongea kwa codes?

This is weird.

Wabongo (sijui waAfrika) tuna shida ya kukariri masomo, tunashindwa kuelewa zaidi ya tunachofundishwa. Ndiyo maana wanafunzi 4 waliosoma kozi 1 wakafundishwa na mwalimu 1 katika chuo kimoja utakuta ukiwauliza swali juu ya hiyo kozi wote wana jibu la aina moja na hata mwalimu naye jibu analo hilo tu.

Akikutana na mwanafunzi akampa jibu jipya huyo mwanafunzi atafeli huku anajiona. Nikiwa chuo module moja ilikua ni kuangalia namna ya kusolve tatizo la ndoa zikichuja mapema (sex rut) mimi nikasema anal sex inasaidia kurudisha spark kati ya wanandoa.

Yule mwalimu alininunia. Na akanikata maksi in advance kabla hatujafanya hata zoezi moja.

Siyo ajabu kubaki washauri as hata research na research proposal watu hufanyiwa na watu wa stationery. Yule mtu wa stationery anachofanya ni research ya Mzumbe anaileta UDSM ya UDSM anaipeleka UDOM ya UDOM itaenda CBE.

Sasa kichekesho ni kwamba hata huyo supervisor wa research na yeye hajawahi kufanya research.
 
Nimefanya kazi na Wachina kwenye mradi maarufu wa ujenzi hapa Dsm. Huwezi amini kuna Wachina jobless waliletwa kiujanjaujanja na wenzao, hawajui kitu kwenye masuala ya ujenzi lakini ndani ya miezi miwili (yes, namaanisha miwili!) walikuwa wanaelekeza mafundi wa kibongo waliosoma diploma miaka mitatu na wana uzoefu kazini kwa miaka zaidi ya mitano.

Hao Wachina wakuja walikuwa wanachapa kazi sijawahi ona, wana nidhamu balaa, wakorofi kwa wabongo wapuuzi na cha ajabu wakikosea wanatandikwa makofi na mabosi wao Wachina.

Wabongo sasa, KILA IDARA wanaiba haijalishi ni wapi. Wanaiba simenti, oil, mafuta, maji, mabarafu, zege, nondo, nyaya, mashine, nyavu, blocks, mbao yani kila kitu. Hata walinzi wenyewe wanaiba.

Wachina walikuwa wanafanya kazi utadhani mradi ni wa nchi yao, wabongo unasikia "hawa si wenzetu, tukipata chochote tuchukue" wakati mradi ni wao.

Unajua mnaenda kupumzika lisaa, wakati wa kurudi unakuta boss kashafika na wafanyakazi ndo wanakuja!

Wabongo sio wanasiasa tu wabovu, kila sekta ni tiamaji.
Mkuu umenena vyema tatizo sio viongozi bali wanaNchi wenyewe.
 
Ungemuuliza huyo professor uchwara wako wanafichwa vipi kama Castr alivyosema. Tungeanzia hapo.

Pili, inabidi ujue mikataba inasemaje hadi miradi isimamiwe na wao. Mikataba mingi inataka wasimamizi wawe wachina wenyewe kama hela wanatoa wao. Wanafanya ili kupata maximum return out of mkopo waliowapa. There's nothing you can do about that labda ukakope kwa mwingine ambaye ana masharti nafuu.

World bank na IMF wakikupa hela hawakupi bure tu lazima nao wakupe masharti ndo maana waligoma kutoa pesa JPM aliposema wasichana wenye mimba wasirudi shuleni.
 
Naunga mkono hoja kuna baadhi ya content uki google wanakupa majibu restrictions by your country
 
Lete hapa swali ulilowahi uliza ukajibiwa hivyo.

Pia wewe ni kielelezo cha wasomi wetu. Yaani kwakua google imekwambia hivyo basi na wewe hutafuti jibu kwingine.

Unashindwa kutumia search engine nyingine?

Unashindwa kujiunga na reddit, quora au platform yoyote na kuuliza swali lako?

Unashindwa kutumia VPN na kuonyesha upo katika nchi ambayo haina hiyo restriction?

Unashindwa kutumia akili?

Mnatia aibu.
 
Back
Top Bottom